Askofu Kakobe amesimamia neno

Frank King

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
1,310
886
Namkumbuka Daniel, alivyofanyiwa hila Na Viongozi. Walijua ataingia mtegoni tu. Namkumbuka Yeremia Alivyo onewa kwasababu ya Wito wake, alipaza sauti Juu ya utawala dhalimu, naye akawekwa kifungoni ili asiongee, lakini Hakuweza kukaa kimya. Namkumbuka Yesu alivyomwita Mfalme herode "MBWEHA" . Kama Tawala zote zimewekwa Na Mungu. Basi lazima Madhabahu itaongea tu, ata ikichomwa moto.

NAKUOMBA POPOTE ULIPO GWAJIMA COME PLS...NJOO BABA UUNGE HII CHAIN ILI TUENENDE NA UPEPO HUU MZURI WENYE NEEMA YA BWANA...YANI HATUONGEI LOLOTE....

Zaidi Kuelekeza akili na nguvu zetu katika kutulia nakutumaini...na Mashangilio.
 
Mzee dah.....mbona jamaa kakukoti kwa maneno ya kawaida tu?hii ni jamii bro hatufanani akili yafaa ujifunze kujadili kwa hekima kidogo.
Mkuu, usually hawa ni watoto wa kizazi kipya. Hawana hoja wala adabu ya kuweza kusemeshana kwa staha. Wao hudhani kuwa kutukana hovyo ndiyo ujanja kumbe ni ujinga tu na utoto wa kifikra hata kimalezi na kimakuzi.

Ingekuwa zamani tungetukanana hapa mpaka ningekula ban lakini siku hizi nilishajifunza kupotezea tu. Dunia itawafunda !!!
 
Mkuu, usually hawa ni watoto wa kizazi kipya. Hawana hoja wala adabu ya kuweza kusemeshana kwa staha. Wao hudhani kuwa kutukana hovyo ndiyo ujanja kumbe ni ujinga tu na utoto wa kifikra hata kimalezi na kimakuzi.

Ingekuwa zamani tungetukanana hapa mpaka ningekula ban lakini siku hizi nilishajifunza kupotezea tu. Dunia itawafunda !!!
Unalialia nini kutafuta huruma za wana jf?sio lazma kila uzi uchangie...nyingine jifunze kupita kushoto
 
Hayo ni mawazo yake hauna haja ya kutukanana. Mimi pia sipendi kumfananisha mtu yoyote ktk biblia na amabye hajamaliza mwendo. Pia ktk biblia kila mtume nabii au mtumishi alikuwa na madhaifu na ubora ukiondoa Yesu pekee. Kuna manabii walikimbia wanawake kwa hofu tuu ya kifo. Je akitokea mtu Leo haogopi kufa atalinganishwa kumzidi yule nabii ? Hasha haitawezekana huo upinganifu utakuwa batili. Kila mtu na karama na kibali chake. Utakuta anaweza tokea mwingine akongea kama Kakobe lakini mwitikio ukawa tifauti kwa jamii na kwa serkali.
 
Naona unatukana kwa kutumia id zako zote mbili. Safi sana. Na kwa kawaida muanzisha mada huwa hatukani wachangiaji wa mada yake...hasa kama mada yenyewe ni ya kidini kama hii. Matusi haya unayoporomosha na Daniel na nabii Yeremia wapi na wapi mkuu?
Huna adabu
..
Umekaa kimipasho na uvurugaji.
 
Back
Top Bottom