Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,657
Hii channel nimekua nikichek kwa zaidi ya miaka kumi.Yaani hawa jamaa hakuna innovation hata kidogo.Wenye hii channel jaribu kufanya marekebisho ya uongozi aisee.Kuna vi channel vipya vinachipukia na kuwafunika.......Nawasilisha