Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Ningepends kufahamu ile Barua walioandika Wazungu ambayo tulionyeshwa hapa JF kwa Serikali yetu kuhusiana na tukio la Tundu Lisu, ilifikia wapi? Kuna anayeweza kunipa mrejesho?
Tuliambiwa na chadema fans kwamba Muzungu anataka majibu, sasa wamefikia wapi?
Tuliambiwa na chadema fans kwamba Muzungu anataka majibu, sasa wamefikia wapi?