Aitel Leo vipi mbona mtandao huko slow sana

Aitel Leo vipi mbona mtandao huko slow sana

STUKA M1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,432
Reaction score
7,024
Jaman, nyie Airtel huku pande za Lindi mbona mnazngua na sikukuu kama hii..!!
Nimenunua bando la maana hapa, ile nizame kwa mtandao nijivinjari na maburudani ila mtandao hata 3G haishiki.. Tatizo nn jamani...[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
maajabu eti leo airtel speed yao nzuri kwangu. 350kbps
 
Airtel weziiiii
Juzi wameniibia kihela changu.
Nilinunua kibando cha wiki through Airtel money, hela walichukua ila hawakunipa data.
Kupiga huduma kwa wateja sioni Kile kipengele cha kuongea na mhudumu ni maelekezo tuuuuu if what what what bonyeza blah blah. then wanakata.
Nimeangalia salio hela haijarud mpaka waleo


Cc Smart911
 
wameanza kung'oa mitambo yao wanasafirisha kimoja kimoja
 
Back
Top Bottom