Usinunue computer katika duka la Universal collection

Hawa jamaa wapo mtaa wa kongo kariakoo na uhuru kariakoo ni mazulumaji na computer zao ni mbovu yaan hazifai.

Jana nimenunua laptop pale yaan najuta ni mbovu sijawahi kuona ..

Tafadhari sana mnaonunua laptop jihadhari na hawa jamaa.
Ahsante kwa taarifa
 
kwani hapa ni dawati la malalamiko polisi.umeuziwa dukani umenunua mtaani.umenua used sio mpya umepewa lisiti,umepewa mda wa kwamba ikiwa na tatizo una ludisha.wana lipa kodi,wana ofisi ndo maana unaweza kufika.
soma taratibu na sheria za jf .
 
Lakini mm nishanunulia watu wengi pale mpka jana nimemnunulia jamaaa mmoja hivi kutoka morogoro, sijajua aina wanazo nunua na matatizo wanayokutana nayo maaan vitu hutofautiana
 
Hawa jamaa wapo mtaa wa kongo kariakoo na uhuru kariakoo ni mazulumaji na computer zao ni mbovu yaan hazifai.

Jana nimenunua laptop pale yaan najuta ni mbovu sijawahi kuona ..

Tafadhari sana mnaonunua laptop jihadhari na hawa jamaa.
Ni Used au Mpya?
 
kwani hapa ni dawati la malalamiko polisi.umeuziwa dukani umenunua mtaani.umenua used sio mpya umepewa lisiti,umepewa mda wa kwamba ikiwa na tatizo una ludisha.wana lipa kodi,wana ofisi ndo maana unaweza kufika.
soma taratibu na sheria za jf .
Mpya we ngombe
 
Mnaambiwa laptop mpya laki 2 hao mnakimbilia

e1d1760795e7d22e4eb7ebc7ae405323.jpg
 
Kila mtu kamjibu mwenzake inavyotakikana"*****'[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaliamshe dude mkuu acha ufala.. mimi hata huo mda wa ku type nisingepata
 
Back
Top Bottom