Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 327
Kwa wale tulioko Moshi em tuelekezane mitaa, club, gardens, au sehem zozote nzuri kufanya mtoko jumatatu hii ya Sikukuu ya Krismas.
.
Mimi ntakuwa pale Mekuz Bistro, iko karibu na roundabout ya Arusha, njia inayoelekea Shanti.
.
Mimi ntakuwa pale Mekuz Bistro, iko karibu na roundabout ya Arusha, njia inayoelekea Shanti.