nelson salema
Member
- Mar 18, 2016
- 74
- 19
Hivi kwanini NMB wanakataza wahenga wenye 53yrs mkopo hata wa ML 2?
Wanajua muda sio mrefu mhenga ata-left group alafu watapata shida kufatilia malipo yao kwenye mambo ya pensionHivi kwanini NMB wanakataza wahenga wenye 53yrs mkopo hata wa ML 2?
Napata ukakasi kwa kauli na fikra yako,je wazazi ni vijana?walikusomesha qakiwa vijana wa miaka 25?je leo wao hawahitaji kuishi?na je hawana feasible auatainable projects?hapa hoja je mhenga anaweka dhamana gani?mfano kama ni mikopo ya wafanyazi merit ni kutokuwa mstaafu na penaion haijaguswa na ni mfanyakazi umethibitishwa kazini na bado una muda qa kulipa kabla ya kustaafu.pia mhenga anaweza kukopa kwa kutumia dhmaba ya byumba,kiwanja,gari au amali yeyote itayo thaminishwa kuzidi mkopowazee hata hela wakikopa wanaenda tapeliwa tu na kuoa dogo dogo
Si wanasemaga mkopo una Bima.Sasa inakuaje waogope kuwa mtu anaweza vuta anytime?Wanajua muda sio mrefu mhenga ata-left group alafu watapata shida kufatilia malipo yao kwenye mambo ya pension
Gari lako likiwa na bima huwezi kusababisha ajari maksudi kwa kigezo kwamba una bima, katika ajari hiyo unaweza kufa japo bima inaweza kulipa gari lako 100%.Si wanasemaga mkopo una Bima.Sasa inakuaje waogope kuwa mtu anaweza vuta anytime?
Smhkwa mujibu wa. takwimu ambazo sizonje amekataa tusiziongelee,umri wa kuishi mtanzania ni miaka 50,kwa hiyo wenye zaidi ya miaka hiyo we presume they are dead,technically
write off
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwa mujibu wa. takwimu ambazo sizonje amekataa tusiziongelee,umri wa kuishi mtanzania ni miaka 50,kwa hiyo wenye zaidi ya miaka hiyo we presume they are dead,technically
write off
Kwa mtizamo wao finyu nadhani wanafikiria kwamba wakiwapa wazee mkopo watakufa mapema kabla hawajarudisha mikopo yao.Hata hivyo ukiangalia vijana ndio wanaokufa mapema siku hizi hata kuliko wazee! Kwa hiyo wazee ni market nzuri tu ambayo wanatakiwa kuichangamkia.Wazee wengi wa PSPF kwa mfano wanapata hela nzuri tu kila mwezi.Hivi kwanini NMB wanakataza wahenga wenye 53yrs mkopo hata wa ML 2?
Sorry,vijana wanakufa mapema kuliko wazee.I am sure you know what I mean.Anyway,nimerekebisha.Vijana wanakufa kuliko vijana????