Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,409
Mnamo miaka ya 1980 Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Serikali za nchi za Scandinavia walianzisha mradi uliyokuwa ikiitwa Industry Promotion Project (IPP) ikiwa chini kampuni iliyoitwa Tanzania Development Financial Ltd (TDFL) kazi ya kampuni ya TDFL ilikuwa ni kukuza sekta binafsi kifedha na IPP ilikuwa mradi wa kukuza viwanda hapa nchini.
Kwa wale wasiyojua TDFL ndiyo inayomiliki majengo yote yalipo makao makuu ya Benki ya Barclay inayotazamana na hotel ya Serena.
Ombi langu kwa serikali ifuatilie na kutujulisha IPP yetu ilipotelewa wapi.
Japo kwa ifuatiliaji wangu mdogo inaonesha kuwa waliyokuwa viongozi wa IPP ya serikali ndiyo wamiliki wa sasa wa IPP ya Leo.
Tunataka IPP yetu tujulishwe ilipotelewa wapi?