Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,814
Jamani, pale M city wamefunga mashine ya kupima vitu vya asili ya chuma (metal detector) kwa watu wote wanaotaka kuchoma ndani.
So kuna usumbufu wa aina yake kama vile kwa wasafiri wa kupanda ndege.
Ili kuepuka usumbufu hakikisha vikoro koro vya chuma pamoja na coins unaviacha nyumbani ili usipate shida ya kujisachi.