Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa mliobahatika kuzunguka ama kuishi mataifa mengi duniani hili ni swali kwenu, Je na wananchi wa mataifa mengine ndivyo walivyo? je wanakaribiana hata kidogo na sisi kwa unafki, Refer...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimesikitishwa kupata taarifa kuwa mchakato wa uandikishaji wa vijana wanaotaka kujitolea JKT umegubikwa na rushwa ya wazi kabisa kwa baadhi ya mikoa ikiwemo mkoa wa Dar es salaam. Hii inanyima...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naelewa jukwaa hili linatembelewa na watu wengi, hivyo naomba msaada wenu hasa Sumatra na Polisi. Kuna basi la kampuni ya best line lenye namba za usajili T916 ADV lililotokea Dar asubuhi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mlipuko huo ulitokea mbele ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika sherehe za maadhimisho ya elimu kwa mkoa wa Dar es Salaam na kuhusisha...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi ni kwa nini haianzi na siku aliyozaliwa Mtume Muhammad badala yake inaanza na ,,hijri“ au siku ambayo Mtume alienda Madina, tofauti na dini nyingine kama Ukristo wa Kizungu, Kalenda yao...
0 Reactions
49 Replies
10K Views
Angalia kuanzia dakika ya nane. Wabeba maboksi oyeeeeeee:usa2: Halafu kumbe jamaa ni British-Tanzanian......teh teh teh But why is he a foreigner in his own country? Au keshachukua uraia wa UK?
3 Reactions
75 Replies
11K Views
katika jamii kuna mambo mengi ya aibu, mengine yanawatokea watu kwa bahati mbaya ila mengine wanayafanya kwa makusudi wakiyaona ya kawaida ila wanaambulia aibu kubwa! Kulala na mke/mume wa mtu...
0 Reactions
3 Replies
860 Views
Salaam wadau, Kwa siku tatu zilizopita nilikuwa mkoani Tanga, na niliweza kutembelea chuo cha utumishi Kange, ambapo nilimpeleka ndugu yangu kuanza masomo hapo. Chuo hiki ni muhimu hasa kwa mkoa...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Samaki hao watoka majini kwenda kuwaona ndugu zao wa sokoni. Wadai kuwa kuendelea kunyamaa kunawaongezea ndwele. Kwa sauti moja wanapaza sauti zao wakisema "Tumenyanyaswa kiasi cha kutosha...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila mwenye moyo wa kupenda wa dhati niko kwa basi naenda Arusha maombi yako tafadhali,pamoja na maombi kampani ni muhimu. Halafu wale wenyeji humu ndani mlioko Arusha ruksa kunipokea ila tu...
0 Reactions
3 Replies
597 Views
Habari wana jf, Mimi nakaa nyumba yakupanga, kama baadhi mtakuwa mme experience karaha za umeme kwenye nyumba zakupanga, hivyo nimewaza bora niwe na luku yangu binasfi ambayo nitaiweka kwenye...
1 Reactions
19 Replies
8K Views
Note: I am not good at writing stories. Maelezo yanaweza kukosa mpangilio. Kufanya political coverup ninafikiri hii ndio kazi ya msingi ya kisiasa ya waziri ya mambo ya ndani ya nchi. Hii sio...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Huku ni kupoteza hela za walipakodi kama jitu limejiuzulu jimbo libaki tu hivyohivyo kwanza kuna viongozi wengine wawakilishi sio lazima mbunge awepo
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Usaliti alioufanya Tundu Lisu dhidi nchi yangu kwa maslahi yake binafsi na wachahe wa chadema yamerudi na kuimaliza chadema, sasa kwa mara ya kwanza ktk Historia ya chadema watu wanahama kwa spidi...
2 Reactions
4 Replies
870 Views
Habarini wana JF, Napenda kujua kuhusu gharama na kampuni zinazojihusisha na usafirishaji wa samaki wabichi kutoka Mwanza hadi Dar. Ahsanteni
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Nimealikwa MLIMANI TV leo usiku kuanzia saa 2.30 usiku kwenye kipindi kinachoitwa Keki ya Taifa. Na pia nimealikwa MAGIC FM kesho asubuhi kuanzia saa 1.30. Pamoja na mambo mengine, nitaongelea...
8 Reactions
66 Replies
6K Views
Wadau Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu yupo Live TBC katika kipindi cha "TUNATEKELEZA" Mada: * Mikakakati wa Sekta ya Afya katika Kupambana na Adui Maradhi* Tafadhali mjulishe mwenzako ili...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF. Mwanamke moja mkoani kagera amemuua na kumzika mwenzie shambani walipokuwa wakifanya kazi akidai anapendwa zaidi na mume kuliko yeye. Bibi mkubwa alimuua bibi mdogo na muuaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hizi pesa zilizookotwa Airport zitumike kutengeneza katiba mpya. Walisema hawana pesa lakini Mungu katuona kadondosha zigo la pesa ambazo zinatosha kupata katiba mpyaa na chenji ikabaki. Lile...
0 Reactions
1 Replies
830 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…