Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Gari moja lililokuwa linaendeshwa kwa kasi katika jimbo la Califonia hapo jana liliruka na kuingia ndani ya ghorofa ya juu kwenye jumba moja baada ya kugonga uzio wa kutenganisha barabara. Sehemu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Gari moja lililokuwa linaendeshwa kwa kasi katika jimbo la California hapo jana liliruka na kuingia ndani ya ghorofa ya juu kwenye jumba moja baada ya kugonga uzio wa kutenganisha barabara...
0 Reactions
2 Replies
963 Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, Huku kwetu imekuwa ni lazima hata mtumishi wa serikali kutoa mchango wa kijiji wakati mimi ninavyofahamu mimi nakatwa kodi katika mshahara wangu...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% na 20% for fuel (ethanol) and for export. Inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za mahindi hupelekea akili kuwa pumbafu (kulala) hivyo...
8 Reactions
92 Replies
31K Views
Sio kwa sababu wewe ni kijana una nguvu na afya njema haina maana kwamba kifo hakipo kwa ajili yako kifo hakina kikwaza cha umri daima unapaswa kuwa tayari na kifo Mwenyezi mungu (Allah )...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Gazeti la Nipashe Jumapili baada ya kuambiwa wajieleze kwa ile habari ambayo haikuwapendeza wakubwa wameamua kwenda mbele zaidi na kujifungia wenyewe kutotoa nakala. Kwa habari nilizosoma soma...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa hakika si rahisi kiongozi wa Chama cha upinzani nchini, ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa kimya kiasi hiki kwenye mambo mbalimbali yanayohusu nchi ya Tanzania na siasa zake. Amekuwa kimya toka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana JF Takribani Hekta 82 za mashamba ya Mahindi ya Wakulima Wilayani Songea zimeshambuliwa na Panya, Ndege aina ya Kware na Kunguru pamoja na Wadudu aina ya Bungua hivyo wakulima...
0 Reactions
2 Replies
702 Views
Uchumi umekuwa Ila wapinzani wanaroga sana ili maisha yawe magumu. >Wapinzani wameroga makinikia hatujalipwa hadi Leo. >Wapinzani wameroga hadi wale jamaa waliokuwa wanaingiza milioni saba kwa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
*Lion Mode* In the jungle: 1. The Elephant is the biggest 2. The Giraffe is the tallest 3. The Fox is the wisest 4. The Cheetah is the fastest Yet, the Lion is the KING of the jungle even...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimesoma habari moja kuwa gazeti moja la Jumapili limejifungia miezi mitatu baada ya kuandika habari za kuudhi. Limejifungia na kusema linajipanga upya. Inaruhusiwa kujifungia halafu kosa likaisha?
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Waziri mwenye dhamana na afya za watanzania amepata mshtuko na msongamano mkubwa wa wagonjwa leo alipofanya ziara katika hospital ya rufaa ya mkoa wa Temeke alipokuwa anafuatilia taratibu za...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mwaka 2015 kuna filamu imetengenezwa na jamaa anayejulikana kama John Malkovich mtayarishaji wa filamu nchini marekani, filamu hii ambayo maudhui yake hayajulikani na imewekewa tarehe ya...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Watanzania wanaotumia mitandao ya kijamii, wameaswa kutotumia maneno ya lugha ya kuudhi dhidi ya mwingine. Badala yake wapendane hata kama hawafahamiani wala kuwahi kuonana. Hayo yamesemwa na...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Action Music Tanzania (AMTZ) inatangaza fursa kwa watu wote kujiunga na mafunzo ya kupiga ala za muziki yanayoanza desemba 19 mwaka huu, lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wanamuziki wa kupiga ala...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela amepiga marufuku vitendo vya wanaume walio kwenye ndoa kupiga wake zao, akisema atakayebainika hatua kali zinachukuliwa dhidi yake. Akizungumza kwenye...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Kitengo cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), inamshikilia mfanyabiashara wa vifaa vya magari, Boniface Mbilinyi (32) kwa tuhuma za kusafirisha dola 83,000 za...
3 Reactions
106 Replies
13K Views
UKITAKA KUJUA UCHAWI UPO,ZIDANE ATAONDOKA MADRID WENGER ATABAKI ARSENAL...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Tulikuwa tunaongelea mambo ya Siasa na kwa bahati nzuri anajua Kiswahili kabisa hivyo hakukuwa na shida ya kuelewana! Nilimshutumu kwamba kwani ni wametoka kwao Uholanzi na kuja kupora na...
1 Reactions
3 Replies
881 Views
Back
Top Bottom