Tunatekekeza 2017: Waziri Wa Afya Mh. Ummy Mwalimu Yupo Live TBC

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,607
2,000
Wadau
Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu yupo Live TBC katika kipindi cha "TUNATEKELEZA"
Mada:
* Mikakakati wa Sekta ya Afya katika Kupambana na Adui Maradhi*
Tafadhali mjulishe mwenzako ili muweze kujua jinsi gani Serikali ya awamu ya tano chini ya Mh Dk John Pombe Magufuli kupitia Wizara ya Afya inatekeleza ipasavyo Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi.
Karibuni sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom