Live on Mlimani TV: Zitto Kabwe Vs Hamis Kigwangalla - Pushing forward the youth/Housing agenda! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live on Mlimani TV: Zitto Kabwe Vs Hamis Kigwangalla - Pushing forward the youth/Housing agenda!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HKigwangalla, Feb 27, 2012.

 1. HKigwangalla

  HKigwangalla Verified User

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Nimealikwa MLIMANI TV leo usiku kuanzia saa 2.30 usiku kwenye kipindi kinachoitwa Keki ya Taifa. Na pia nimealikwa MAGIC FM kesho asubuhi kuanzia saa 1.30.

  Pamoja na mambo mengine, nitaongelea

  (1.) Model ya kukuza ajira kwa vijana kupitia uwekezaji kwenye viwanda vyenye direct linkages na kilimo (kwa kutoa mikopo maalum kwa vijana wasomi) na kwenye kilimo chenyewe (kwa vijana wa vijijini na wasio na elimu/ujuzi), kama nilivyoiandaa tayari kwa kuiwasilisha Bungeni kwenye mkutano wa saba mwezi April 2012. Taarifa ya hoja hii nimeishaiwasilisha Bungeni tayari.

  (2.) Model ya kujenga nyumba na kuzikopesha/kuziuza leo hii kwa watumishi wa umma na private sector employees kwa kutumia hazina ya watumishi hawa kama dhamana ya mikopo hiyo. Hii itatuwezesha kuwa na nyumba bora, zenye huduma zote, zenye ubora zote, miji mizuri, na kutufanya tuishi vizuri leo na wala siyo kesho. Si haki wala halali kwa watu wa leo kujenga maisha ya watu wa kesho wakati wao wakitaabika...

  (3.) Current affairs - ikiwa ni pamoja na Kauli aliyoitoa Mhe. Spika kule jimboni kwake kuhusu hali ya maisha, kifedha, ya wabunge na kushuhudia kuwa wengi wao wanakusudia kujiuzulu ubunge kabla ya muda wao kuwadia
   
 2. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  kuwa makini na utakachoongea!!!!vinginevyo hizo media unazozitafuta kwa kasi zikujenge hazitakujenga!!!!zitakubomoa!!!
   
 3. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hauwezi ukatupa mawazo yako hapa kwenye hicho kipengele cha tatu...japo kwa uchache tu?
   
 4. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145

  Kwa hili nipo makini kusikia Mhe Hamis unasemaje; ndiyo unaenda kutangaza kujiuzulu Ubunge maana matarajio ya mapato ni tofauti au utampinga mama mwenye tamaa asiyetosheka na anachokipata!!
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,466
  Trophy Points: 280
  Dr. Kigwangala hongera sana kwa reaching out strategy yako. Kusema kweli to be honest, mtu kama wewe, January. Deo Filikunjombe na wengine wachache, mko kwenye a wrong party!, ila pia sio vibaya labda mtaweza kuleta mabadiliko from within!. Keep it up!.
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  morgage finance imeshaanza bana
   
 7. HKigwangalla

  HKigwangalla Verified User

  #7
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Ntogwi (hivi wewe ndiye yule mwalimu wangu wa pale MUCHS ama uko related naye tu) hahahahaaaa unanikumbusha mbali sana.

  Sizitafuti hizi media, zinanitafuta kwa kuwa nina-push forward ajenda za muhimu kwa ustawi wa Taifa letu...hata hivyo sina haja sana ya kujengwa na sijali sana kubomolewa, mimi naishi maisha yangu kama ninavyoyaona tu na sitegemei chochote kile cha ajabu zaidi ya kutoa maoni yangu. Ndiyo maana sina wasiwasi.
   
 8. M

  Mnyakatari JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,556
  Likes Received: 486
  Trophy Points: 180
  I hope Hkigwangala ni mmoja wa wale wabunge nusu ambao spika Makinda ametuambia wanampango wa kuacha ubunge kukwepa umaskini..!
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Je ushaimplement mahali japo kwa mfano tu, hizo models zako 1&2, au ni mwendeleze wa michapo?

  Nyie Wanasiasa mnapenda sana kuongea maneno matamu kwenye Media badala ya kuita Waandishi wa habari kwenye eneo lako ulilojenga Models (hata kwa mfano tu)ili watazamaji waone in reality what you intend to teach and empower to them... huh!
   
 10. M

  Marytina JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kumbuka umebakiza 2.8 years utoweke kwenye siasa
  ccm lazima tukuchune ngozi kwa kuchochokea mgomo wa madaktari na kumdhalilisha PINDA

  Inabidi uanze kusifia ccm ilivyoumaliza mgomo wa madaktari vinginevyo 2015 utaisoma
   
 11. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160


  Is this agenda real of paramount importance kwa taifa na wakati huu........wabunge kuachia nafasi koz of fedha n ol that????? Is not this going to raise a dozen of comparative questions?????

  My opinion on that; Discuss on inflation rates versus number of unemployed youths and the way forward.........
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  (1.) Model ya kukuza ajira kwa vijana kupitia uwekezaji kwenye viwanda vyenye direct linkages na kilimo (kwa kutoa mikopo maalum kwa vijana wasomi) na kwenye kilimo chenyewe (kwa vijana wa vijijini na wasio na elimu/ujuzi), kama nilivyoiandaa tayari kwa kuiwasilisha Bungeni kwenye mkutano wa saba mwezi April 2012. Taarifa ya hoja hii nimeishaiwasilisha Bungeni tayari.

  Utakuza ajira zipi zilizopo? Viwanda vipi vyenye linkages na kilimo ? Mikopo utaitoa kutoka wapi?

  (2.) Model ya kujenga nyumba na kuzikopesha/kuziuza leo hii kwa watumishi wa umma na private sector employees kwa kutumia hazina ya watumishi hawa kama dhamana ya mikopo hiyo. Hii itatuwezesha kuwa na nyumba bora, zenye huduma zote, zenye ubora zote, miji mizuri, na kutufanya tuishi vizuri leo na wala siyo kesho. Si haki wala halali kwa watu wa leo kujenga maisha ya watu wa kesho wakati wao wakitaabika...

  Dakitari.....walipe kwa mishahara au posho? Sijawahi kusikia ''hazina ya utumishi'' kuwa collateral popote duniani.....hii ni mpya.........na nani anatutaabisha? Kam si wewe na chama chako?

  (3.) Current affairs - ikiwa ni pamoja na Kauli aliyoitoa Mhe. Spika kule jimboni kwake kuhusu hali ya maisha, kifedha, ya wabunge na kushuhudia kuwa wengi wao wanakusudia kujiuzulu ubunge kabla ya muda wao kuwadia

  Naomba ujiuzulu uje kwenye tulichokusomesha....udakitari
   
 13. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nilitamani nichangie lakini kwa kuwa unataka maujiko ili tujue kuwa unatafutwa na media. aaaaahhhhhhhh, umejigamba tena mkuu
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Unajua huyu Dakitari mtu wa ajabu sana......wakati wa mgomo wa madikitari alijitia kiherehere magamba wenzie wakamshukia vibaya akanywea......leo anaibuka na haya.........ngoja aulizwe nani kakutuma
   
 15. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #15
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,534
  Likes Received: 10,452
  Trophy Points: 280
  halafu mbona unajichanganya wewe kwenye theard inayomhusu makamba umejibu nini na hapa unaongelea nini au ndo mbinu za kisiasa?
   
 16. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #16
  Feb 27, 2012
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Tatizo la Tanzania sio kukosa strategies bali namna ya ku implement hizo strategies.

  Mheshimiwa mimi ningeona unafanya la maana kama ungejaribu ku implement haya unayofikiria kule kwenye jimbo lako na kisha kuwaita Waandishi wa habari pamoja na wananchi wengine ili waone agenda yako ni ipi na jinsi inavyokuwa implemented.

  Haya ya kujadili kwenye radio au majukwaani kila mtu anaweza. Tuende hatua moja mbele kwa kuionyesha jinsi hizo ideas zinavyoweza kuwa implemented kwa kuanzia na kwenye wilaya na kisha kukiwa na mafanikio basi itakuwa rahisi sana kuigwa kwenye wilaya nyingi au nchi nzima.
   
 17. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #17
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Said Bagaile jimboni kwako kuna miiba? Si uende jimboni kwako utulie na wapigakura wako?
   
 18. SOTI

  SOTI Member

  #18
  Feb 27, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kigwangala naona unafuata nyayo za babako anayejitangaza kila radio tabora kama mganga maarufu wa kieyeji! Wewe hajakurithisha?
   
 19. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #19
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,359
  Trophy Points: 280
  kigwangalla umekimbia maswali humu JF,utakutana na sisi hapo mlimani tv kwa maswali kwa njia ya simu!!umelianzisha mwenyewe halafu unakimbia!bora usingetuambia,tutakuwa makini na maswali kwenye karatasi by that time.
   
 20. 654

  654 Senior Member

  #20
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 173
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Good luck daktari! only watch out what you say vs what you do!
   
Loading...