Pesa hizi zitumike kutengenza katiba mpya

Pesa hizi zitumike kutengenza katiba mpya

NAMTUMBA

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,939
Reaction score
600
Hizi pesa zilizookotwa Airport zitumike kutengeneza katiba mpya. Walisema hawana pesa lakini Mungu katuona kadondosha zigo la pesa ambazo zinatosha kupata katiba mpyaa na chenji ikabaki.

Lile bunge ni wakati wa kurusha live maana pesa zimepatina.

Zile 50ml kila kijiji pesa ndo hizo.

Hivi Mungu atupe nini Watanzania??
 

Attachments

  • FB_IMG_1513280683711.jpg
    FB_IMG_1513280683711.jpg
    40.6 KB · Views: 26
  • FB_IMG_1513280509125.jpg
    FB_IMG_1513280509125.jpg
    43.6 KB · Views: 23
Back
Top Bottom