Habarini hapa JF,
Kuna story nyingi sana zinaendelea juu ya madereva wa UBER, wanasema eti wanavuna hela nyingi sana! Sasa naomb akujuzwa hivi ni kweli madereva wa uber wanavuna mamilioni au ni...
Habari wanabodi...
Kampuni ya startimes kupitia ving'amuzi vyake sasa inafanya wizi wa waziwazi kwa wateja wake;
1. Channel zinazitakiwa kuonekana bure (local channels) hazionyeshi, na...
Ndugu wapendwa kilichomtokea jamaa yangu nimeona vyema tushare msijemkalizwa.
Ndugu yangu amekuwa akitumia vibanda vya njiani kuingizia pesa zaake CRDB mwaka wa tano kutokana na ukaribu amekuwa...
Bombardier mpya ya Air Tanzania Company Limited.Kwa sasa imesajiliwa kwa usajili wa Canada wa C-FUFC na inatarajiwa kusajiliwa hapa Tanzania kama 5H-TCE (DHC-8-402 MSN 4559)
Ikumbukwe kuwa ndege...
Panya waharibifu wamevamia mashamba ya mahindi ya wananchi wilayani Handeni, mkoani Tanga na kula mahindi yote hatua inayodaiwa kuleta hofu ya kukumbwa na baa la njaa.
Wakizungumza na Mtanzania...
Naibu waziri wa elimu sayansi na Teknolojia William Ole Nasha ameviagiza vyuo vya ufundi kote nchini kuondoa vikwazo na kutoa upendeleo maalum kwa wanafunzi wa kike wenye sifa wanaojiunga na elimu...
Tangu majuzi naona watu wamekomaa na Joyce Kiria, hivi mnaijua historia yake?
Laiti mngeijua historia yake wala msingehangaika wala kupoteza muda kumjadili, kavurugwa tangu utoto, hana aibu...
Joyce Kiria afunguka
Hiyo inaitwa Vunja Ukimya, Elimika,
Uaminifu wa Kiongozi yeyote na dhamira yake ya kubeba Dhamana ya Matumaini ya Wananchi Ni Lazima Ianzie nyumbani kwake.
Kama...
Ukiangalia Wanawake waliosoma kwenye hii shule utagundua wote wana dhana ya Uongozi. imetoa wake bora,wachapakazi na viongozi wazuri, si ajabu tukapata Rais wa Kwanza Mwanamke aliyesoma hapo...
Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikisoma na kuona matukio mbalimbali anayoyafanya huyu
dada. Amekuwa na msimamo mbaya sana juu ya serikali na pia chama cha mapinduzi. Na
amekuwa akiwa akiwachukia...
LINKS
▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶
Post ya mpekuzihuru.com:
www.mpekuzihuru.com/2018/01/joyce-kiria-amwaga-siri-za-mumewe.html
post ya Joyce Kiria:
Self-Made | Entrepreneur...
Wakuu kama kichwa kilivyojieleza hapo juu.Nilikua naomba kuuliza hivi Youtuber wanalipwaje??. Kuanzia kwenye viewers pamoja na ad
Akhsanten sana wakuu kwa kusoma naamin mtanisaidia.Narudia tena...
Ajali za barabarani nchini Tanzania zimekuwa zikisikika kila uchao, leo utasikia basi fulani limepata ajali mahali fulani na kuua watu kadhaa kesho napo hali kadhalika, imekuwa kama watanzania...
Kama kawaida yao trafiki hivi sasa wanaendelea kutunyanyasa na kudai faini kwa makosa mbambali mengi y kiwa kubambika kabisa.
Mfano mimi jana nipo barabarani na eneo hilo hakuna watu kabisa...
SHALOM:
Karibu tufahamu ukweli kuhusu neno la MUNGU, na kuacha kuyasikiliza yasiyompendeza na kulichafua Jina la mwenyezi MUNGU.
Zaburi115:4-8
Wazifanyazo watafanana nazo kila...
I have just received this email from a friend.. It has happened to a cashier from TIB (Tanzania Investment Bank)....Please be aware dunia imeharibika
Dear friends
Leo nimeona ni vyema...
WANABODI,
NIMEFUATILIA KWA KINA MUSWADA WAKUUNGANISHA MIFUKO NA KUANZISHA MFUKO MMOJA MPYA (PSSSF), NA HAYA NDIO MAJANGA YA MUSWADA
Muswada wa kuunganisha mifuko ya PPF, LAPF, GEPF na PSPF na...
Kwa wahusika hili vumbi ni hatari kwa afya zetu, tunaomba mtusaidie huu ukarabati wa hiki kipande cha kwenda kwenye stand ya daladala ukamilike tuwe na amani.
Maana hili fumbi ni hatari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.