Naomba kuuliza You tube wanawalipaje Youtuber

Madrid boy

JF-Expert Member
May 21, 2017
895
613
Wakuu kama kichwa kilivyojieleza hapo juu.Nilikua naomba kuuliza hivi Youtuber wanalipwaje??. Kuanzia kwenye viewers pamoja na ad

Akhsanten sana wakuu kwa kusoma naamin mtanisaidia.Narudia tena Akhsanteni
 
Hapa mkuu nimechanganya kidogo Youtuber ni kama wakina millardayo wanalipwaje na youtube kuanzia viewers na zile ad
Mkuu swali lako halikueleweka kidogo,kama unauliza wanalipwaje na YouTube ni kuupitia bank lkn kama unauliza wanatengenezaje hela na YouTube ni kuupitia sponsored ads
 
umu Jf heaters kibao bro jarb kuwauliza mablogalist ...umu siku hiz kunawanafk wengi...waweza uliza kitu wanakijua lkn wakakataa kukujib.
 
umu Jf heaters kibao bro jarb kuwauliza mablogalist ...umu siku hiz kunawanafk wengi...waweza uliza kitu wanakijua lkn wakakataa kukujib.
We lafa nn!kwan hao mabloga hawawezi lijibia humu? Au unataka awafate majumbani kwao?
 
Back
Top Bottom