Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, naomba TANROAD mkoa wa Dar es Salaam wanisaidie kupata mpango wa ujenzi wa Barbara za Dar kwa kiwango cha lami. Naomba kujua Barabara gani zinazotakiwa kujengwa kwa kiwango cha lami kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, habari ya jumamosi? Jana nimepita maeneo ya kinondoni nikakuta pale govornors kuko kimia sana. Nikajua labda kuna shida. Leo hii nampigia mshikaji tukutane govornors ananiambia imefungwa...
0 Reactions
3 Replies
817 Views
Shule za umma kukatazwa kuchangisha, je serikali itakuwa tayari kutoa matumizi mengineyo ya shule na chakula? Michango ya wazazi ndio inayolipa bili ya maji na umeme, na pale ambapo maji ni ya...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Natarajia kuwa Mwanza kwa wiki mbili kuanzia tarehe 22 mwezi huu.Kwa wanaoifahamu Mwanza vizuri ni sehemu gani nzuri kwa starehe Mwanza. Kama hujui usichangie tafadhali.
1 Reactions
38 Replies
17K Views
Rejeeni tangazo la uuzwaji wa viwanja kwa kupitia serikali ya vijiji. Mi binafsi nimeshuhudia mgogoro mkubwa wa viwanja kange kasera kwa watu walionunua kuputia serikali ya kijiji kwani mwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale ambao mnaishi kwenye apartment za NHC, hasa katika jiji hili la Dar es salaam, You can share your experience with us. Gharama zipoje?, vitu gani mnafurahia, vitu gani vinawakera, huduma...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hi greatest thinkers, Nimeanza ujenzi kijijini sasa hivi nyumba ipo kwenye lenter navuta nguvu nyingine nimalizie.Tatizo kuna baadhi ya watu kijijini wananibeza eti ninajenga chaka bora...
6 Reactions
50 Replies
7K Views
HUJAFA hujaumbika na siku zote Mungu ni mwema na Mungu ana makusudi yake ni wa ajabu kwa sababu maajabu yake ni makubwa na ukuu wa Mungu unajidhihirisha katika muujiza wa watoto mapacha...
32 Reactions
146 Replies
35K Views
Wana janvi la JamiiForums naomba kufahamu kwanini Serikali hii a awamu ya tano imeshindwa kutengeneza miundombinu katika swala zima la elimu naomba nijikite zaidi katika elimu yenye mahitaji...
0 Reactions
2 Replies
960 Views
Tunaishukuru Serikali yetu kwa kupiga marufuku michango katika shule zetu za Msingi na Sekondari lakini pamoja na nia nzuri lakini kuanzia sasa Serikali ione umuhimu wa kupeleka fedha ya chakula...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
waku habari zenu, kama kichwa kinavyosema hapo nilikua naomba msaada kwa anayefahamu kuhusu matumizi ya leseni yetu ya udereva.
0 Reactions
1 Replies
709 Views
Hivi ni haki kwa wananchi kukosa huduma ya maji eti kisa KUWASA hawajalipia bili ya Umeme? Je bili ya Umeme nani analipia? Kwa ufahamu wangu navyofahamu, mwananchi ndio analipia. KUWASA lipieni...
1 Reactions
0 Replies
771 Views
Huyu mtu aliandika mengi na alitufundisha mengi,sijamsikia kitambo.William Shao uko wapi????
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kamati ya maadili imetoa uamuzi juu ya mashauri yaliyowasilishwa kwake na sekretarieti ya TFF yakiwahusu viongozi wanne wa soka wakituhumiwa kughushi na kufanya udanganyifu katika mapato ya mchezo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Upelelezi wafanya vigogo wa kampuni ya mawasiliano ya SIX TELECOMS akiwamo Dk. Ringo Tenga kuendelea kusota rumande,Tenga na wenzake watatu wanakabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Amani iwejuu yenu ndugu wanajamvi, Kama kichwa cha mada kinavyo sema sisi tulio ishia formm four tukitaka kujilipua kwenda US tunaweza kujiendeleza kielimu kweli!. Hususani kwenye kozi za...
0 Reactions
2 Replies
937 Views
Kiukweli tunakubali kabisa kwamba tulichukua mikopo kipindi tunasoma elimu ya juu na tunapaswa kuirejesha ili wengine waweze kukopeshwa lakini hizi asilimia 15% zilizoongezwa kutoka asilimia 8%...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Mamalaka ya mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ wanazindua Mwongozo kwa watumiaji wa huduma na bidhaa za mawasiliano ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye na Waziri wa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Gazeti la Forbes limemtangaza Mo Dewji kuwa anayeongoza kama Bilionea Africa Mashariki. Naomba kufungua mjadala kwani mpaka sasa mie binafsi sioni kigezo kilichotumika kumpa huyu dogo hiyo...
6 Reactions
151 Replies
23K Views
JE NI WAKATI GANI NISIMAME KWENYE ZEBRA CROSSINGS AU JE NI AMRI KUSIMAMA KWENYE ZEBRA HATA KAMA HAKUNA MWENDA KWA MIGUU ANAYEVUKA? Sheria inasemaje? Sheria ya usalama barabarani kifungu cha 65...
17 Reactions
43 Replies
22K Views
Back
Top Bottom