KAMANDA WA POLISI MKOA WA KAGERA, AGUSTINE OLLOMI.
MWILI wa Betia Felix (18) mkazi wa Kijiji cha Nyakatete, wilayani Kyerwa mkoa wa Kagera, umeokotwa ukiwa umekatwa matiti na kufungwa kamba...
Nimekuwa nikiusikia huu usemi wa 'Tigo hao wanapita' muda sasa toka Polisi kupewa pikipiki wakiwa wawili wawili na kuzunguka mitaani kwa ajili kulinda na kufuatilia matukio na wale wanaovunja...
Hawa police wa usalama barabarani bado ni kero kwa wenye magari. Wamekuwa si watu wa haki badala yale ni watu wa dhuluma na uonevu. Maana imekuwa sasa hivi ni mwendo wa cheti tu.
Gari ikiwa na...
Ukosefu wa takwimu zinazojitosheleza za meli, maeneo ya bahari zinakoendesha shughuli za uvuvi umekuwa kikwazo kwa serikali za nchi za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania kukabiliana na uvuvi...
Wakuu habari Zenu kwa Hisani ya Mshana Jr.
Tukumbushane hapa visanga vya usiku wa kuamkia leo Tulichokifanya..
Jana nimetoka na washikaji tumeenda kugambeka sasa imefika mida gambe imenikolea...
Naomba wale wote ambao wanamwabudu Mungu wa kweli na kupumzika siku ya saba ya juma ambayo ni sabato, achia namba yako hapa au inbox ili tutengeneze whatsapp group tuelekezane zaidi.
zingatia...
Raisi John Magufuri aliahidi kwamba ifikapo mwezi wa November, 2017 watumishi wote waliokuwa wanastahili kupata promotion, watapata. Ahadi hii ilichagizwa kwa waraka uliotolewa mwezi November...
Nimetoka Kugombana sasa hivi na baadhi ya ' Marafiki ' zangu ambao kila mara hupenda kutupia tu Picha za Rafiki yetu Mgonjwa ambaye alivamiwa na ' Majambazi ' maeneo ya Bunju miezi miwili...
Ndugu wanajukwaa wenzangu salaam!
Nimeamua kuweka hapa manyanyaso tunayoyapata kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Masasi wa sasa.
Toka mwaka jana mnamo mwezi November kulitokea...
Jinsi wabunge au wananchi na viongozi wanavyowaomba mawaziri wawatekelezee miradi as if waziri anazitoa ela mifukoni mwake...
Mfano unakuta mtu anasema-" tunakushukuru sana Mh. Waziri kwa upendo...
Lets say kiwanja changu ni kidogo na nimeshajaza nyumba kiwanja chote, je, nikitaka kuongeza jengo la ziada kwa kuchimba andaki kwa chini na kuingia chini ya kiwanja cha jirani chini kwa chini...
WAMILIKI wa mabasi yaendayo mikoani, wameomba kukutana na Rais John Magufuli kumweleza matatizo yanayowakabili ikiwamo vipengele wanavyodai kuwa ni kandamizi katika kanuni mpya za leseni za...
MWANAMITINDO wa kimataifa afanyaye shughuli zake nchini Marekani, Flaviana Matata ajenga madarasa mawili ya shule ya msingi iliyopo katika kijiji cha Msinune kilichopo kata ya Kiwangwa Wilaya ya...
Hili suala mafuta ya petrol na diesel kuendelea kupanda bei wakati katika soko la dunia mafuta bei imeshuka nashindwa kuelewa nafasi ya EWURA katika hii biashara naoana kama wanaongeza bei...
Mimi ni mpenzi wa kusoma gazeti la Nipashe, ingawa wakati mwingine huchapisha makala ambazo hazijafanyiwa uchambuzi wa kutosha.
Chapisho la leo Januari 19, 2018 linatia aibu wa kiuandishi...
Hivi karibuni TRA wameanzisha utaratibu mpya wa jinsi ya kubadili taarifa kwenye kadi ya gari,taratibu za kuzuia uhalifu wa kadi ni mzuri ila mlolongo wake kwa ujumla ni maumivu,unahitaji siku...
Miezi mwili baada ya wanafunzi watano kuuawa na wengine 43 kujeruhiwa kwa bomu la kutupwa kwa mkono katika Shule ya Msingi Kihiga wilayani hapa mkoani Kagera, Kampuni ya Kabanga Nickel imewapa...
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzia na Usalama nchini Dkt. John Pombe Joseph Magufuli leo nakuletea Kilio changu Kikubwa Kwako na ambacho...
Jeshi la Polisi: Habari iliyoandikwa na Gazeti la Nipashe kwamba “Polisi wanawakamata wavaa vimini na wanyoa viduku” imepikwa, si ya kweli!. Marufuku ya nguo fupi, Mlegezo, Kiduku na mitindo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.