Habari zenu wana JF, natumaini Nyote ni wazima wa afya kwa wale wagonjwa tunazidi kuwaombea.
Standing on the shoulder of the giants ni ukweli usiopingika kuwa mafanikio yetu kwa asilimia kubwa...
Kwa maana hiyo magunia 6 yana nunua DAP na UREA bado palizi,kupanda,kulima,madawa na mavuno na ekari moja ni gunia 20.Jamani hali ni hatari hiyo mbolea yenyewe haipatikani halfu wapo busy kila...
Habari za jioni;
Hakika kuna jambo huwa linanisononesha sana hasa ninapotajiwa miradi mbali mbali ya kanisa katoliki kutekelezwa Kwa pesa kubwa sana kuriko kinacho onekana!
Mtakubaliana na Mimi...
Wakuu.
Natoa wito kwa Watanzania wote tafadhali tuachane na Halotel kwani wamekua wahuni sana.
tuanze kutumia TTCL ili tuboreshe shirika letu lenye faida na sisi tuachane na hawa wanaokuja kuchota...
Teddy Mwanambilimbi enzi za uhai wake
Wapenzi wa Sanaa kama mnamjua mtu social Kaka yetu Teddy Mwanambilimbi kaka yake Deo Mwanambilimbi ametutoka na hatunaye tena.
Bwana ametoa Bwana ametwa...
Habari wakuu,leo jioni mida ya saa2 kasoro usiku,nimelipia huduma ya choo pale mwendokasi kivukoni,kilichonishangaza ni kuona naelekezwa choo cha kike,nikawauliza wahusika kwani vipi?wakanambia...
Shule kongwe ya wasichana wenye vipaji maalum Almaarufu kama Nganza High School iliyopo jijini Mwanza imeingia katika mgogoro mkubwa unaofukuta chini kwa chini kati ya wazazi wa wanafunzi wa shule...
Kuna haja ya serikali kusitisha huduma mara moja kwa kampuni ya usafirisha ya Tahmeed
Ambayo inaongoza kwa ajali ambazo zina fanana moto moto kilasiku wao ni moto wameshindwa gundua chanzo cha...
Kiukweli teuzi nyingi nchini kuna majina tumeyazoea kama hatujazoea basi ni maprofesa wa UDSM wanaouzaga sura kwenye media kila siku ila hili la AG mpya kutoka tumaini Iringa limenifikirisha...
Napata sana shida kwa Taasisi,Idara na mamlaka nyingi za Serikali unapofungua website zao ili upate taarifa ambayo inaweza kukusaidia katika shughuli zako za kazi na kukuta aidha hata website...
Habari Wadau,
It was 2017 tuna kula sikuku, huku wafanya kazi wote tulitumiwa email kama hi fatavyo:
Dear Colleagues,
A meeting of all staff will be held on Tuesday, 2nd January 2018. The...
PUMZIKA KWA AMANI KIONGOZI NA MLEZI WETU KINGUNGE NGOMBARE MWIRU.
Tunabaki na faraja kuwa upo urithi uliotuachia,umetutangulia katika kipindi ambacho bado kuna mengi tulihitaji kujifunza...
Tanzania ikizingumziwa kwa nje ni nchi moja nzuri sana,na mimi najivunia kuwa mtanzania ila kwa kila jambo linaloingia tanzania limekua ni janga na balaa tuanze na ukoloni,
1.Tulitawaliwa na...
Tangu niko mdogo nimekuwa nikisikia kwamba maji ya bahari ya Hindi huwa yanasafiri kiasi kwamba mtu unaweza kuingia baharini kuchukua baadhi ya vito pasipo maji kuwepo.
Kwa bahati mbaya sijawahi...
Poleni na majukumu wanabodi.
Naomba kushauriwa nifanye nini kwenye hii situation inayonikabili ili niweze kurudi kwenye mstari.
Mimi ni kijana ninayesoma chuo,n a nilibahatika kupata...
*KANUNI UNAZOTAKIWA KUZINGATIA KUHUSU FEDHA*.
KANUNI NO. 1
Kamwe usikope fedha na hasa ya riba kwa ajili ya kuanzishia biashara (isipokuwa kwa mkopo ambao marejesho yake yanatokana na mshahara...
Maduka kadhaa naona yameitikia wito wa kutoa risit za efd,lakini mbona ukinunua vitu vya gharama ya juu wao hukuomba wakukatie risiti yenye gharama ndogo! Mfano unanua meza ya kioo ya Tsh 200,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.