Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

HALLELUJAH Bwana YESU apewe sifa! Bila shaka ni taarifa fupi baada ya MAOMBI NA MAOMBEZI Africa yaliyoibuwa mengi baada ya waliolipuka na mapepo kuzungumza na kusema/kuwataja baadhi ya wasanii...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imezifunga hoteli tatu mkoani humo pamoja na kituo cha mafuta kwa kushindwa kulipa deni kodi. Hoteli zilizofungwa ni NAF BEACH , NAF BLUE, BNN pamoja na kituo cha...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Baada ya kuona jf app kule play store imetokomea kusikojulikana kuna mkuu mmoja humu jf katoa wazo watu tuingie Blackmark tutaipata,na kweli Mimi mmoja wapo nkainstall hiyo app na kuipata JF app...
0 Reactions
1 Replies
828 Views
Eti huu mti ukipanda kwako unaleta mkosi,vifo na kuvunjika kwa ndoa
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wasalam wana JF! Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inataka kuimarisha masoko ya mazao yanayolimwa nchini ili kuwawezesha wakulima kupata tija.Taarifa iliyotolewa leo Februari 3, 2018...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna gazeti jipya mitaani la kila Jumatatu linaitwa TANZANITE. Je, lina uhusiano na mambo yoyote ya madini ukizingatia madini ndiyo habari ya sasa Naona sasa hivi liko toleo la 32 maana yake...
1 Reactions
50 Replies
14K Views
Mimi ni mwanamke, ni mwajiriwa serikalini, Mwanzo dhamira yangu kubwa ilikuwa kuingia jeshi but kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu ilishindikana kuingia JKT, but kwa sasa wazo la...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hii hali haikubariki sasa.kuna kila namna serikali ikae nao hawa viziwi kuangalia ufumbuzi wa tatizo lao.kiukweli nimeumia sana.hatuwezi jua nasi watoto wetu wakipata uziwi watasoma wapi Kama hali...
0 Reactions
4 Replies
981 Views
Ajali ya basi la kampuni ya Tahmeed coach imetoka muda huu maeneo ya Kitumbi, basi hiyo inafanya safari za Mombasa Dar es salaam. Kuna majeruhi wengi katik ajali hiyo. Taarifa kamili tutakupatia...
0 Reactions
47 Replies
13K Views
Najua kuna Watz wengi sana wanishi Marekani lkn binafsi siamini kama kuna yoyote yule ambaye ana kipato cha kumfanya awe Middle Class ndani ya Marekani, naamini Watz ambao labda wana hiyo status...
1 Reactions
110 Replies
16K Views
Wanabodi, Kama ilivyo kawaida ya JF, be the first to know, niko mjini kati kwenye jingo la Posta House, kuwaletea uzinduzi wa Nembo mpya ya Shirika la Posta nchini, unaofanywa na Waziri wa Prof...
9 Reactions
84 Replies
12K Views
Toa majibu sio blabla.....
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwa kweli hizo treni za umeme naona muachane nazo, leo nimeshudia kuanzia asubui mpaka muda muda huu umeme unakuja mara hafifu mara mnazima ukirudi tena hautoshi binafsi nishaunguza taa 2. Sijui...
0 Reactions
2 Replies
763 Views
Godfrey Malisa amekuwa maarufu sana ktk uchambuzi wa masuala ya kisiasa, kiuchumi na kijamii pia na mara nyingi amekuwa mstari wa mbele kuikosoa serikali. Jana Ijumaa jioni nimepita Manzese...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtu mmoja anyejulikana kwa jina la Moses Okello amehukumiwa kifungo cha nje na kufanya kazi za jamii kwa siku 40, baada ya kukutwa na hatia ya kumtilia pilipili mke wake kwenye nguo ya ndani...
2 Reactions
42 Replies
6K Views
Zito: Kingunge alikuwa na uwezo wakumkatalia hata Mwl.Nyerere Alifukuzwa kazi na Mwl.Nyerere
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hbr wana jf Kuna tatizo la mtu ukiwa unaenda tibiwa na ukawa unatumia kadi ya bima ya Afya kusainishwa karatasi bila ya kuandikiwa gharama zinazokukabili au huduma ulizofanyiwa Huwa najiuliza...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi! Leo sina maneno mengi ila kuna jambo hili linamisumbua siku hizi! Zamani humu JamiiForums ilikua ukiingia unakutana na mada nzuri na wachangiaji makini, lakini siku hizi...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Biashara ya antiquities(mambo ya kale) ni ya ajabu sana. Wazungu hasa matajiri huwehuka kwa vitu hivyo. Kwa wale wapenzi wa kusoma vitabu kuna kazi moja ya Dan Brown inaitwa The Davinci Code...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom