Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu Pasco shalom Najua nikisema nawe hapa utawaambia na wenzako .Hivi hii tabia ya kupewa bahasha ndiyo habari ziandikwe kwenye magazeti na TV zenu ina manufaa gani kwa Taifa ? Nasema haya nikiwa...
8 Reactions
96 Replies
9K Views
Huyo hapo juu ni aliyekuwa mwandishi wa habari na mwakilishi wa kituo cha televisheni cha Channel Ten, mkoani Iringa, marehemu Daudi Mwangosi. Mwangosi, ambaye alikuwa pia Mwenyekiti wa Klabu ya...
12 Reactions
56 Replies
11K Views
Wanabodi, Kuna hoja nyingi huwa zinaibuliwa humu JF kuhusiana na sisi waandishi wa habari, kwa vile na mimi ni mwandishi, naomba nichangie kwa lengo la kuhabarisha na kuelimisha na sio...
15 Reactions
219 Replies
28K Views
Habari, Kwa takribani miezi miwili kwa vipindi tofauti tofauti maji ya DAWASA upande wa Mbezi Beach yamekuwa yakitoka na rangu nyeusi au yawe machafu ambapo ukikinga kwenye ndoo au tank baada ya...
1 Reactions
3 Replies
179 Views
Huku labda uwe unakula mihogo tu. Chips kavu 2,500/= hapa nimeagiza Chips yai sijui itakuja bei gani? Hafu sehemu local tu wala sio ushuani. Hii sumu 1,200/= Hapo Shoppers 850/= Huku ila...
15 Reactions
103 Replies
2K Views
Maana ilikuwa ni tufurahie TU ya duniani ila ndo hivo CCM haipendi kabisa tuwe na raha
14 Reactions
34 Replies
606 Views
mtu ameamka na stress za chuki dhidi ya israel, so ili kuituliza nafsi yake ngoja atunge stori ambayo haina accuracy yoyote na picha za AI kuonesha operation kabambe za uongo😁 Point yangu kubwa...
10 Reactions
23 Replies
374 Views
ππ€ππˆπˆ πˆπ’π€π˜π€ π€π‹πˆπ“πŽπ€ π”ππ€ππˆπˆ πŠπ”π–π€ ππ€ππ„π‹πˆ π‡π€πˆπ“π€π‰π„ππ†π–π€ 𝐓𝐄𝐍𝐀. Alitoa unabii huu takribani mwaka 700 KK hadi 689 KK, yaani zaidi ya miaka 150 kabla Babeli haijaanguka. Akasema β€œBabeli... itakuwa kama...
5 Reactions
5 Replies
260 Views
Na Mwandishi Wetu Manyara. Kampuni ya Mati Super Brands Ltd imeibuka kinara katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kimkoa mwaka 2026, baada ya kuonesha ubunifu wa hali ya...
2 Reactions
6 Replies
221 Views
Katika mjadala wa maendeleo ya sekta ya afya na usalama kazini nchini Tanzania, jina la Akwilina Victor Kayumba haliwezi kupuuzwa. Ni miongoni mwa wataalamu waliopitia safari ya kitaaluma yenye...
2 Reactions
3 Replies
204 Views
Tunazaana, tunaishi ( iwe kwa mbinde au soft life) halafu tunakufa. Hatujui tunakufa lini na tunaenda wapi. What if we are raw materials for some higher beyond human intelligence creatures? πŸ€”...
4 Reactions
25 Replies
325 Views
Yani najikuta nachimba sana na sometimes naona nimepata hela ya kutosha per day Lakini nikiiweka mezani naona bado si kitu, akili inaniambia kwa hela hiyo bado huwezi hata kupata kiwanja town...
8 Reactions
15 Replies
461 Views
Anonymous
Kuna shughuli hatarishi zinaendelea katika maeneo ya Kishiri na Fumagila kutokana na uchimbaji holela wa mchanga. Hali hii inaleta madhara makubwa kwa mazingira na usalama wa jamii. Ni wakati wa...
2 Reactions
1 Replies
134 Views
https://youtu.be/JpTdQUQrkrY?si=PwVkyIoMuTgIUuMd
2 Reactions
5 Replies
191 Views
Kuna barabara ya kutoka hapa Njia Panda ya Tegeta A hadi posoposoa ni kero sana tena kipindi hichi cha mvua Yani barabara hii ilianza ujenzi wa awali tu miezi miwili nyuma, na tangu hapo hakuna...
1 Reactions
2 Replies
189 Views
Watu wawili wanadaiwa kufariki dunia baada ya kugongwa na gari walipokuwa wakisafiri kwa pikipiki, kufuatia gari hilo kupoteza mwelekeo, kuacha njia na kutumbukia mtaroni. Wakizungumzia tukio...
2 Reactions
2 Replies
237 Views
May 2 2026 Kundi la AMSONS kujenga hospitali 10 za akina mama na watoto nchini Kenya chini ya mpango wa afya wa dola milioni 40 za Marekani Mpango huo, unaoitwa "Ahadi ya Maisha," unaonyesha...
1 Reactions
3 Replies
221 Views
Niliona kwanza kuwa Yanga anaishinda mechi hii kwa goli 1. Ila baadaye nimeona kuna waganga wengi wamejitokeza kusema Yanga ataishinda. Sasa nataka nami nichezeshe mechi hii kama mwenye timu, ili...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Kwanza ukiwa unataka ku bashiri matokeo ya kesho unatakiw kwanza kujiuliza kitu cha muhimu - je nina bet kwaajili ya kupata hela au nabeti for fun ? Kama lengo lako ni kupata hela, derby...
1 Reactions
1 Replies
155 Views
Anonymous (00c3)
Katika kituo cha Ilala-Iboma amabacho ndo cha mwisho kwa 'Route' ya Mbagala-Ilala BOma kumekuwa hakuna utararibu mzur wa kuwapanga abiria kwenye foleni ili kusubiri kupannda magari, hali hiyo...
0 Reactions
0 Replies
151 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…