Je, wajua? #Rwanda wana mfumo bora wa afya kuliko Marekani & nchi nyingi zilizoendelea ambapo wanyarwanda 90% wana bima ya afya ikilinganishwa na 88.7% ya wamarekani.
Ni haki kwa kila mnyarwanda...
Kama Uhuru alikubali kutii sheria za mahakama kwa kufuta ushindi wake na kukubali uchaguzi the Same to Odinga inabidi naye akubali maamuzi ya mahakama na sio kusumbua Jirani zetu Wakenya.
Nasikia...
Yaaaniii n gari kadhaa zinasimamishwa na traffic
Baadae unaonaa wanaingia kwenye gari wanatoka gari linaendelea na safari
Jamboo hil linafanyika bila hofu kabisa tuwe bas na hofu ya Mungu...
Naskiliza Radio hapa ndani ya MWENDOKASI, mtangazaji wa AE, anaizungumzia Korea Kaskazini. Anasema KK kule hakuna huduma ya "international calls" simu za kutoka!
Pia akeandelea kusema eti...
Siku hizi ITV nayo imekuwa kama TBC kwani habari zao siku hizi ni kuipongeza tuu serikali na kutotoa kabisa habari za upinzani hili ni janga kubwa kwa vyombo vya habari hasa hicho chombo...
Habari zenu wadau.
Leo naomba kujua ukweli hasa kuhusu [wabantu] chimbuko lao na na asili ya neno WABANTU. kwa sababu inasemekana kwamba katika makabila zaid ya 120 yaliyopo Tanzania ni kabila...
Habari ya muda huu
Wakati tumebaki na siku 33 kabla ya kufunga mwaka nina imani kila mmoja wetu anatafakari mwaka kesho afanye jambo gani ili aweze kupiga hatua hususani za kiuchumi katika Maisha...
amani iwe juu yenu.
leo katika pita pita zangu nimekutana na hiyo kitu hapo. Najua wikipedia ni mtandao ambao anybody can post or edit, hivyo kuufanya usiwe 100% authentic.
Ila kwa bodies kubwa...
Kama ilivyo kwenye vita ya kupambana na rushwa na ufisadi, hili kwake halina mjadala, na kimsingi ni suala jema.
Ni suala jema kwa sababu kodi inayokusanywa na serikali ndiyo inayotumika...
Wadau abari zenu kama kichwa cha abari kinavyosomeka Leo ni siku ya chajo kutokomeza mabusha na matende kwaiyo basi tujitokeze kwawingi tupate iyo chanjo kwenye zahanati zetu chanjo iyo ni buree...
Hivi fundi mitambo wa RTD Bwana Ali Said Tunku yuko wapi, mbobezi huyu alikuwa mala kwa mala katika gari la matangazo ya RTD lijulikanalo kama OB-VAN hususani kwenye matangazo ya mpira. Yuko wapi...
Ndugu wenzangu maisha yanazidi kuwa magumu mtaani lakini kila ukijaribu kufanya maarifa ili uweze kusimama bado hali ni tete. Zamani mtu alikuwa akisoma basi uhakika wa ajira ulikuwepo lakini ni...
Kuna zaidi ya 1trn / - katika fedha za kupunguza umasikini ambazo zimekaa tu zikisubiri maombi!
Kwa mujibu wa naibu waziri wa serikali katika ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira), Anthony...
Meneja Mkaazi wa Shirika la Ndege la Etihad nchini Tanzania, Bw. Ailende 'Allen' Okoromu
27 Novemba 2017- Dar es Salaam. Shirika la Ndege la Etihad Airways limemteua Ailende 'Allen' Okoromu kama...
Wana jamvi la JF naomba kujua tofauti ya wanyama hawa, iwe kwa majina, maumbile au kwa namna yeyote ile maana nimepata tabu kufahamu tofauti yao. Wanyama hao ni:
1.Kima
2.Ndedere
3.Tumbili...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Mohamed Mpinga aliwaambia waandishi wa habari katika taarifa yake ya jana kuwa mbali na Minza, mwanaume mmoja pia alifariki dunia katika tukio tofauti.
Katika...
Tanzania tuna trafiki wengi vilaza sana na wagumu kuelewa.
Unakuta trafiki anasimama katikati ya mstari (chaki) katikati ya barabara huku magari yakipishana kwa kasi. Au mwingine badala ya...
Polisi inawashikilia vijana 33 kwa makosa ya kuwahadaa wasichana kimapenzi ieleweke hapa kosa sio kuhadaa ila ni KUWABAKA. Vijana hao almaarufu kwa jina la beach boys au dunga dunga wanapatikana...