Polisi inawashikilia vijana 33(dunga dunga) kwa makosa ya kuwahadaa wasichana kimapenzi

ally pazy

ally pazy

Member
Joined
May 24, 2014
Messages
17
Likes
25
Points
5
ally pazy

ally pazy

Member
Joined May 24, 2014
17 25 5
Polisi inawashikilia vijana 33 kwa makosa ya kuwahadaa wasichana kimapenzi ieleweke hapa kosa sio kuhadaa ila ni KUWABAKA. Vijana hao almaarufu kwa jina la beach boys au dunga dunga wanapatikana katika fukwe mbali mbali hapa Dar es salaam.

ISHU NZIMA IKO HIVI.

Watu wanapokwenda beach let say family kule beach wasichana wengi wanapenda kuogelea na wengi wao hawajui hivyo hawa beach boys hu take advantage na kuwakodisha mipira ya magari zile tubes halafu kuingia nao majini kuwa assist (Kuwafundisha kuogelea)

Kinachofuata sasa beach boy hupeleka boya hadi deep sea (kina kirefu) wakifika huko kijana huomba apewe penzi huku akimtishia mdada ukigoma nakuacha unafia hapa hapa.Mdada akijafanya mbishi anapewa advertise kwanza anaachwa anakunywa maji lita moja akishaona mlango wa kuzimu basi mweyewe anamuita kijana na kumpa kwichkwich huku wakielea majini kwa raha zao.

Kwa staili hii wadada wengi sana wanaliwa, wengi wamepewa mimba kwa staili hii, wengi wameambukizwa ukimwi kwa staili hii hii.Vijana hawa beach boys ndio imekua staili yao, wadada wakifika tu beach wao hugombania kuwafundisha kuogelea kumbe lengo ni kwenda kula mambo haya bila jasho.

Binti akishabakwa huko majini akirudi nchi kavu hasemi kilichomkuta huishia kulia tu kimoyomoyo.Kiukweli unaweza usiamini ila hebu vuta Picha upo kwenye kina kirefu then binti unaambiwa chagua moja nikuache ufe au unipe penzi?! Lazima utatoa kwa maana hakuna namna!

Huwa ninapokua beach kila weekend mara nyingi sio kuogelea ni kupunga upepo na kunywa huwa naonaga sana mipira ikiwa inaelea deep sea katikati ya maji huku kukiwa na mwanamke na mwanaume lakini mawazo yangu yote najua ni mtu na mpenzi wake wanakula raha za dunia kumbe ni hawa vijana wahuni wanakula mambo bila jasho.

Nimepitia hii mada huko mtandaoni michango ya wachangiaji ni mingi sana, vijana wanakiri kwamba haya mambo yapo tena hata wake za watu wanaliwa saana tu.Unakuta family inafika ufukweni baba anakabidhi mkewe ufukweni kwa vijana afundishwe kuogelea huku yeye akibaki ufukweni kashika kamera yake anachekelea tu na kukuna kitambi kumbe hajui kule majini mkewe anapewa show amazing kana kwamba ndio Ada ya mafunzo.

Inasemekana kuna wengine hunogewa hasa ikiwa Show anayopewa ni ya kibabe kuliko anayoipata kwa mumewe ikifikia hapo mke kila week ataomba mumewe ampeleke beach kumbe anachokifuata ni#ShowYaKibabe

Kuna kijana anasema tena unakuta mke akipewa show hapa basi hatua 15 hivi binti yake nae anapewa show na kijana mwingine huku dingi katuliza kitambi chake ufukweni.

Kuna kijana amekiri jirani yao house girl alipewa show hadi kufika ufukweni akawa hawezi kutembea ukizingatia alikua muda mrefu hajapata mambo, sasa akiulizwa umepatwa na nini hasemi.

Kiufupi hali halisi ndio hii na maswali kujiuliza dada zangu hivi unakubali vipi mtu humjui akufudishe kuogelea?! Imagine mdada 'umenona' uko na chupi tu na sidiria upo ndani ya tairi dogo na mkaka kiasi kwamba uko zero distance mko katikati ya maji boya likiyumba kidogo unawahi kumkumbatia usianguke hivi huyu kijana hatakutamani kweli? Unadhani hana matamanio?

Au unafikiri huyu kijana ni MALAIKA asipatwe na tamaa ya kimwili?Nawapa pole wadada wote ambao yamewakuta haya najua hata humu fb,whatsapp na instagram wapo ila hamuwezi kusema na kuficha kwenu kumepelekea jambo hili kutojulikana mapema na mabinti wengine wengi wakawa yanawafika hadi polisi walipojua na kuanza kuchukua hatua.

Kama kweli unampenda dada wa kitanzania asikumbane na kadhia hii basi sambaza mpaka kwenye magroup yote ujumbe uwafikie.

Tafadhari sambaza ujumbe huu uwafikie wadada wote Tanzania.

5a866c002ddac9955e0f284864c6a880.jpg
 
Kine3

Kine3

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Messages
289
Likes
104
Points
60
Kine3

Kine3

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2013
289 104 60

Da!!! Hatari sana.
 
iddy mweka

iddy mweka

Member
Joined
Oct 10, 2013
Messages
47
Likes
15
Points
15
iddy mweka

iddy mweka

Member
Joined Oct 10, 2013
47 15 15
JE WAJUA YANAYOJIRI KWENYE FUKWE HASA COCO BEACH?

HATARI! HATARI.

Kama kweli unampenda dada wa kitanzania asikumbane na kadhia hii basi [HASHTAG]#SHARE[/HASHTAG] mpaka ujumbe uwafikie.

Tafadhari sambaza ujumbe huu uwafikie wadada wote Tanzania.

Please share!!
 
smigo4u

smigo4u

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2015
Messages
2,044
Likes
1,371
Points
280
smigo4u

smigo4u

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2015
2,044 1,371 280
Mbona huu uzi hauna wachangiaji???
 
iddy mweka

iddy mweka

Member
Joined
Oct 10, 2013
Messages
47
Likes
15
Points
15
iddy mweka

iddy mweka

Member
Joined Oct 10, 2013
47 15 15
Lakn ni ya kweli hutokeaga ktk hayo maeneo??
Maana me ckuipata hii
 
M

mputa

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Messages
724
Likes
540
Points
180
M

mputa

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2012
724 540 180
Kitu ambacho jiuliza yale mazingira ya majini, ili usisame inakubidi uwe na harakati fulani za kukuweka juu ya maji, kwa mantiki hiyo hiyo sex mtafanyaje kwenye kina kirefu ilhali wote mnastruggle msizame
 
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Messages
13,269
Likes
7,642
Points
280
Age
28
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2013
13,269 7,642 280
Tumeshasikia sana hizi story, labda mtu ambae hana smartphone ndio yatamkuta haya
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
8,420
Likes
13,559
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
8,420 13,559 280
weekend nilikuwa nakula upepo huku nikitafakari beach, baadae nikajipa kazi ya kuscan waogeleaji. kuna jamaa walikuwa ndani ya tairi ke/me hawaogelei ila wanaelea tu... alafu wamejitenga na wengine. wamekaa kwenye hali hiyo zaidi ya nusu saa...

nikahisi kuna mtu kaliwa pale... kama kweli wakamatwe tu, wanachafua maana ya beach, uchafu huo unaweza kutuletea laana za Tsunami bure...
 
Mpemba Mimi

Mpemba Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2013
Messages
432
Likes
255
Points
80
Mpemba Mimi

Mpemba Mimi

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2013
432 255 80
Wache jamaa wajilie - si mnapenda vitu vizuri (kama iyo kuogelea) ila vya dezo. Unadhani hao jamaa wanajilipa nini?? Shule na walimu wa kuogelea wapo - ila ukipenda dezo - lazima malipo yawe kimtindo huo. Wache vijana wafaidi kiulaiiiiiiini.
 
youngkato

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
2,726
Likes
1,655
Points
280
youngkato

youngkato

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
2,726 1,655 280
Itakuwa wanataka wenyewe maana hizi story sio za leo
 
LAMBOFGOD

LAMBOFGOD

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2016
Messages
1,449
Likes
969
Points
280
LAMBOFGOD

LAMBOFGOD

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2016
1,449 969 280
mimi mwenyewe nikiwa beach na kuwaona wadada wa kibongo walivojaliwa huwa natamani nijenge nyumba kule beach
 
marxlups

marxlups

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
10,223
Likes
4,705
Points
280
marxlups

marxlups

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
10,223 4,705 280
Huu uzi ni kama uliwahi kuwepo siku mingi kabla ya hiyo November 15 2017
 
Forum statistics

Threads 1,239,026
Members 476,289
Posts 29,340,333