Wabantu ni kina nani?

Wabantu ni kina nani?

suluta

Senior Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
115
Reaction score
40
Habari zenu wadau.
Leo naomba kujua ukweli hasa kuhusu [wabantu] chimbuko lao na na asili ya neno WABANTU. kwa sababu inasemekana kwamba katika makabila zaid ya 120 yaliyopo Tanzania ni kabila moja ndiyo kabila zawa la tanzania. Makabila mengi yote yamekuja kwa sababu mbalimbali.

I stand to be corrected.
 
kuwa na smartphone unakuwa umevuka steji ya kuwa na huelewa.
kama uliweka kudownload jamiiforum app na zengine tafuta na wikipedia
link Lugha za Kibantu - Wikipedia, kamusi elezo huru
 
Wabantu ni demu mmoja striper wa south

anaitwa Zodwa Wabantu
anacheza hatari[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wikipedia siyo source ya kuaminika boss wangu. Wala usiitumie kama reference. Hata mimi naweza nikaedit nikaandika yangu.
hata mimi nikikuandika hapa utakuwa umeniamini.kuwa muelewa mpaka kitu kimekuwa nyota 5 na kuwa top ujue kinamapitio na kuakikishiwa kwa asilimia.unakuwa na mwangaza na kupita kupata source ya utafiti.
tatizo letu kuna vitu vingi hatu vijui hata kuchanganua mpaka mtu hakueleze hapo hapo.utakuta mtu unamuuliza kitu chochote ajui wakati hapo hapo kashika simu ana internet ni sawa na kuulizwa saa ngapi ukasema ujui wakati una simu ina saa.
 
Wikipedia siyo source ya kuaminika boss wangu. Wala usiitumie kama reference. Hata mimi naweza nikaedit nikaandika yangu.
Duniani hakuna source ya kuaminika. Kila source inahakikiwa.

Ndiyo maanabhata watu wanaoandika Ph.d thesis Harvard wanapitia process ya peer review.

Hapo Wikipedia hutakiwi kwenda kubweteka uchukue kila kitu kama kilivyo. Ni sehemu ya kuanzia utapata sources zaidi.

Ukikataa kitu kwa sababu source haiaminiki, utakataa mpaka hela siku moja.
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
hata mimi nikikuandika hapa utakuwa umeniamini.kuwa muelewa mpaka kitu kimekuwa nyota 5 na kuwa top ujue kinamapitio na kuakikishiwa kwa asilimia.unakuwa na mwangaza na kupita kupata source ya utafiti.
tatizo letu kuna vitu vingi hatu vijui hata kuchanganua mpaka mtu hakueleze hapo hapo.utakuta mtu unamuuliza kitu chochote ajui wakati hapo hapo kashika simu ana internet ni sawa na kuulizwa saa ngapi ukasema ujui wakati una simu ina saa.
[emoji23] [emoji23] we ni mbongo
 
ZODWA WABANTU Ndio Huyu Hapa!!

maxresdefault.jpg
 
Ukijibiwa na mimi nisaidiwe maana ya wahenga, maana naskia katika makabila 120 wahenga ni wasukuma tuu wengine ni immigrants tuu!
 
Back
Top Bottom