Elfu 20! labda ashukie MsamvuABC upper class, basi zuri na LA uhakika
[emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419]ABC upper class, basi zuri na LA uhakika
Hii ni nauli ya Dar-Dom kwa ABCElfu 20! labda ashukie Msamvu
Nataka kwenda singida hapo kesho..je..kwa nauli yang ya tsh 20000/=
Nitapata basi gani la kusafili nalo
Kama singida unaweza kwenda kwa 15,000 basi morogoro ni buku mbiliNenda Mbezi mwisho, mabas yanapita tupu mengi, hata kwa 15 unaenda
Umemaliza mkuu.ABC upper class, basi zuri na LA uhakika
Tafuta malori ya mizigo upande,utafika kwa bei hiyo harakaNataka kwenda singida hapo kesho..je..kwa nauli yang ya tsh 20000/=
Nitapata basi gani la kusafili nalo