Kwa sasa ITV haina tofauti na TBC

MSOLOPAA

Member
Dec 10, 2016
82
107
Siku hizi ITV nayo imekuwa kama TBC kwani habari zao siku hizi ni kuipongeza tuu serikali na kutotoa kabisa habari za upinzani hili ni janga kubwa kwa vyombo vya habari hasa hicho chombo kinachojiita Super brand,

Binafsi kwa upande wangu naona Azam two wapo vizur na wanastahili kuwa super brand kwani wanatoa habari kwa kuzingatia objectivity ethics
 
Siku hizi ITV nayo imekuwa kama TBC kwani habari zao siku hizi ni kuipongeza tuu serikali na kutotoa kabisa habari za upinzani hili ni janga kubwa kwa vyombo vya habari hasa hicho chombo kinachojiita Super brand,binafsi kwa upande wangu naona Azam two wapo vizur na wanastahili kuwa super brand kwani wanatoa habari kwa kuzingatia objectivity ethics
Shida ni kutaka habari unazozipenda wewe,utachukia kila chombo cha habari eti kwa sababu hakijareport kitu unachokipenda wewe!
 
Siku hizi ITV nayo imekuwa kama TBC kwani habari zao siku hizi ni kuipongeza tuu serikali na kutotoa kabisa habari za upinzani hili ni janga kubwa kwa vyombo vya habari hasa hicho chombo kinachojiita Super brand,binafsi kwa upande wangu naona Azam two wapo vizur na wanastahili kuwa super brand kwani wanatoa habari kwa kuzingatia objectivity ethics
Maagizo kutoka Magogoni
 
Hawa Itv Wamekuwa Wa Hovyo Sna,kuna Habari Tuliwaita Ili Waje Waripoti,wao Na Azam2 Cha Ajabu Wao Hawakuitoa Ile Habari,ni Azam2 Na Vyombo Vingne Tuliyoalika Ndyo Waliotoa Hewani,itv Imekuwa Tbc Wapo Kwajili Yakupamba Serikali Ya Ndyo Mzee
 
Jiunge kwangu nimeacha kuangalia TV za bongo, sisikilizi taarifa za habari za viredio vyetu, sisomi magazeti ya kibongo na najiandaa kuachana kabisa na jf. Ubatili mtupu
 
M ukiuna naangalia tv ya bongo ujue ni ze comedy, movie au mizengwe, yan vile vya uongo uongo na wao wanajua kbsa ni uongo ndo napenda. Kuliko mtu anakuona mjinga cha ukweli anataka akuaminishe uongo na uongo akuaminishe ukweli. Mtu wa kuamini siku zote ni muongo.
 
Siku hizi ITV nayo imekuwa kama TBC kwani habari zao siku hizi ni kuipongeza tuu serikali na kutotoa kabisa habari za upinzani hili ni janga kubwa kwa vyombo vya habari hasa hicho chombo kinachojiita Super brand,binafsi kwa upande wangu naona Azam two wapo vizur na wanastahili kuwa super brand kwani wanatoa habari kwa kuzingatia objectivity ethics
One of awful TV ever in history of Tanzania
 
Mimi siangaliagi tena habari za kwenye TV za bongo, TV za bongo naangalia labda miziki, movies na mizengwe, habari zote nazipata kupitia mitandao ya kijamii
 
Hivi unafikiri kutajwa na mkuu pamoja na mwanaye mpendwa unafikiri ni jambo dogo?
 
Siku hizi ITV nayo imekuwa kama TBC kwani habari zao siku hizi ni kuipongeza tuu serikali na kutotoa kabisa habari za upinzani hili ni janga kubwa kwa vyombo vya habari hasa hicho chombo kinachojiita Super brand,binafsi kwa upande wangu naona Azam two wapo vizur na wanastahili kuwa super brand kwani wanatoa habari kwa kuzingatia objectivity ethics
Unajua kuna wakati huwa najiuliza vyama vya upinzani eapecially Cdm huwa wanaondoa nini kwenye vichwa vya wafuasi wake? Mnaishi kwa malalamiko na mnapenda kuhurumiwa sana, kipindi cha uchaguzi 2015 mliwashabikia sana ITV na kuwaponda Star tv kisa ITV walikuwa upande wenu, leo hawataki huo upuuzi wanaangalia biashara, wewe unapiga kelele, unadhani hawa wapo kukufurahisha wewe tu? Wanafanya biashara hawa ukumbuke. Acha tabia yakuangaika kutafuta support za TV tafuta pesa.
 
Sasa kama hakuna cha kuwapongeza ITV iwapongeze tuuuuu?
5631f5f0e463416c6cbdd6caaea3f1f2.jpg

Hata hili nalo eameshindwa kupongeza?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom