Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,387
- 4,880
Kama Uhuru alikubali kutii sheria za mahakama kwa kufuta ushindi wake na kukubali uchaguzi the Same to Odinga inabidi naye akubali maamuzi ya mahakama na sio kusumbua Jirani zetu Wakenya.
Nasikia akisema mwezi wa 12 atajiapisha kuwa Rais wa Kenya na hatambui Uhuru Kenyata kama Rais wa Kenya ameenda mbali na kusema hatatumia staili ya Kiiza Besigye bali atatumia ya Staili ya Zimbabwe Please Odinga wacha Wakenya wafanye kazi kwa Manufaa ya Taifa lao,Afrika mashariki na Ulimwengu.
Tumechoka kusikia Malumbano kila siku.
[HASHTAG]#Mpenda[/HASHTAG] Amani.