Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wapinzani walikuwepo wapo na wataendelea kuwepo. Hao viongozi wamewekwa na watu. Hao watu waliowaweka ndio wapinzani. Akiondoka mmoja watamchagua mwingine lkn watabaki kuwa wapinzani.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hate or love them, hawa ccm hawana aibu sote twajua,wananunua kwa pesa,wanatumia nguvu na vitisho kufanikisha wanalotaka Ila kwa hili la watu kurudi kwao especially kwenye issue ya mbunge wa Cuf...
15 Reactions
48 Replies
5K Views
Habar zenu wakuu, Kama kichwa cha Uzi kinavyosema, ninamuhitaj fundi mzuri wa umeme wa majumbani Awe dodoma Kama yupo ani PM tafadhali..!! Ahsanteni..!!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi wapendwa, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni mfanya biashara mwenye chini ya miaka 25 kwa sasa biashara zangu zinaenda tu fresh ukizangatia na saizi wafanyabiashara...
4 Reactions
175 Replies
15K Views
Hi great thinkers Jana jioni katika kijiwe na babu Fulani akatupa historia yake jinsi alivyo sababisha vifo vya watu 23 kijijini kwao. Babu alituambia kuwa aliwekewa zindiko hilo Pangani Tanga...
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Imeelezwa kuwa wanawake waliokeketwa wanapojamiiana na mwathirika wa virusi vya UKIMWI (VVU) huwa katika hatari ya kupata maambukizi kwa asilimia 99 kuliko ambao hawajakeketwa. Meneja wa Mradi wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kila nisimamapo mbele ya newspaper stand kukodolea vichwa vya habari nakumbwa na nostalgia. Nahisi maumivu ya kukosa kitu fulani cha kulisha nafsi na akili yangu nilichokizoea huko nyuma. Vichwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna matatizo makubwa sana katika mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira SUWASA Rukwa. Sisi wananchi kukosa mita za maji kutokana na ubadhirifu mkubwa ndani ya mamlaka, nasikia hata...
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Shule zipi bora kwa Mzazi wa kipato cha chini nawa kipato cha kati kwa mandalizi ya mwakani au wewe umempeleka wapi kijana wako. Kwasababu zipi tupeane uzeefu.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mh mkuu wa mkoa nakujulisha kuwa vibinti vidogo ambavyo huwa machachari,kwa kuvaaa utupu sasa vinaongoza kwa ngoma! Kuwa mkweli vitoto hiv vingi ninatembea na wazee tu siku hizi, yani kila...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Nimepata sms kutoka halotel ila sijaielewa naomba msaada wa kunielewesha namba yao waliyotumia kunitumia ujumbe huo ni 0621398629. YOUR CELL NO. HAS WON YOU £850,000 IN DON GOING 2017 PEPSI...
0 Reactions
39 Replies
9K Views
Ni muda sasa kasi ya matukio ya utekaji, uvamizi, vitisho na mauaji pamoja na matukio mengi ya uvunjifu wa amani yameshamiri ktk maeneo mbali mbali ya Nchi yetu.... Na ktk matukio haya kumeibuka...
1 Reactions
0 Replies
933 Views
Wakuu hope mko Ok Ngoja nijielekeze kwenye mada Baada ya kuvumilia Kwa muda wa miaka 20 kwa kufukuzia elimu huku nikiamini siku moja elimu hii itanitoa kimaisha . Nimetumia lasilimali nyingi...
5 Reactions
40 Replies
5K Views
Wakulima mkoani Ruvuma wameiomba serikali kuwatafutia soko la Mahindi kwa kuwa msimu wa kilimo umefika hivyo wanashindwa kununua pembejeo,kusomesha watoto na kushindwa kulipa mikopo kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Msaada nina shida ya kifamilia na muigizaji nguli wa zamani kwenye televisheni ya ITV alikuwa maarufu na lafudhi yake ya kihaya kipindi chao nadhani kilikuwa kinaitwa mambo hayo mwenye kujua...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari nilizopata muda huu ni kua mkuu wa wilaya ya Rufiji Juma Abdallah Njwayo akiwa katika kijiji kimoja huko kata ya Ngarambe amempiga kibao mwenyekiti wa kijiji bwana. Hemedi Nditi mbele ya...
3 Reactions
118 Replies
15K Views
KWA NIA NJEMA KABISA
0 Reactions
1 Replies
870 Views
Jumla watu 1.4 milioni nchini Tanzania wanaishi na virusi vya UKIMWI na takwimu hizo ndiyo rasmi hivyo asitokee mtu au kikundi cha watu kupotosha. Dar es Salaam. Mkoa wa Njombe umetajwa kuongoza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Halimashauriya mji wa babati imeanzisha dampo katikatiya mjii karibu na bar ya olimpic ya juu.dampo hilo la muda mrefu sasa inasemekana mawakala wa kukusanja uchafu walionyeshwa sehemu hiyo .je...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nafurahishwa sana na vipawa vya viongozi wetu wanavyovionyesha wakitembelea bandarini,ama kwa hakika hawa ni chaguo la Mungu na awamu hii ya tano ina baraka zote za jehovah Imagine vichwa vya...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…