Bishanga Bashaija mwenye taarifa zake ninashida naye muhimu

mng'oa kucha

Senior Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
150
Reaction score
179
Msaada nina shida ya kifamilia na muigizaji nguli wa zamani kwenye televisheni ya ITV alikuwa maarufu na lafudhi yake ya kihaya kipindi chao nadhani kilikuwa kinaitwa mambo hayo mwenye kujua ntampataje tafadhali msaada ntashukuru sana kifupi ni kwamba alikuwa rafiki na ndugu zangu ambao wote walifariki nikiwa ughaibuni nabeba boksi, wakaacha mtoto ambaye sijui yuko wapi kwa sasa asanteni.
 
Mmmmh, unaitwa mng'oa kucha !!???

Jina lako, Duuuuuuh.

Usije ukatung'olea kucha hadi meno huyo Bishanga Bashaija wetu!!
 
Msaada nina shida ya kifamilia na muigizaji nguli wa zamani kwenye televisheni ya ITV alikuwa maarufu na lafudhi yake ya kihaya kipindi chao nadhani kilikuwa kinaitwa mambo hayo mwenye kujua ntampataje tafadhali msaada ntashukuru sana kifupi ni kwamba alikuwa rafiki na ndugu zangu ambao wote walifariki nikiwa ughaibuni nabeba boksi, wakaacha mtoto ambaye sijui yuko wapi kwa sasa asanteni.
Mkuu fuata utaratibu walioshauri kuwapata akina Monalisa hakika watakuwa msaada mkubwa
Kila la heri Mungu akusimamie katika hili
 
Kuna siku nilimuona anapokea tuzo kwa niaba ya Clouds entairnment,wasiliana na watu wa clouds fm ama tv
 
Msaada nina shida ya kifamilia na muigizaji nguli wa zamani kwenye televisheni ya ITV alikuwa maarufu na lafudhi yake ya kihaya kipindi chao nadhani kilikuwa kinaitwa mambo hayo mwenye kujua ntampataje tafadhali msaada ntashukuru sana kifupi ni kwamba alikuwa rafiki na ndugu zangu ambao wote walifariki nikiwa ughaibuni nabeba boksi, wakaacha mtoto ambaye sijui yuko wapi kwa sasa asanteni.
Njoo faragha na maelezo ya kujitosheleza utampata
 
Kuna siku nilimuona makao makuu uhamiaji sijui alikuwa anafatilia passport.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom