ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,013
Nafurahishwa sana na vipawa vya viongozi wetu wanavyovionyesha wakitembelea bandarini,ama kwa hakika hawa ni chaguo la Mungu na awamu hii ya tano ina baraka zote za jehovah
Imagine vichwa vya treni,magari ya police,ma semi trailer yanakaakaa tu bila kueleweka lakini ghafla bin vuu ziara ya kustukiza ya watawala halafu tena vuuu waandishi wa habari nao wanaibuka from no where (HALAFU KUNA MIJITU INASEMA WATZ WAVIVU WAKATI WALE WAANDISHI HUCHUKUA 2 MINUTES KUFIKA KWENYE ZIARA HIZO ZA KUSTUKIZA TENA ZA SIRI KUBWA)
Baada ya hapo watawala huwa na jicho la tatu,la kiroho kabisa ni jana tu bwana Andrea amestukia magogo yaliyokaa miaka 10 hayana mwenyewe,very impressive
Naomba waziri kalemani naye aende pale bandarini nina wasswasi kuna mitambo ya megawatt za kutosha ya kuchakata gesi na mazagazaga mengine yametelekezwa pale hayana mwenyewe
Please Mr Kalemani ,nenda baba katuokotee mitambo pale,mnatuua huku mtaani hakuna umeme,hela yenyewe imekata,tukilalamika tunapigwa vijembe.....daaaahhh