Wazazi wangu walinidanganya, Ishi maisha yako usiishi kwa ndoto zao

doppla2

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
1,313
2,000
Wakuu hope mko Ok

Ngoja nijielekeze kwenye mada

Baada ya kuvumilia Kwa muda wa miaka 20 kwa kufukuzia elimu huku nikiamini siku moja elimu hii itanitoa kimaisha .

Nimetumia lasilimali nyingi sana, monetary and time kujenga future yangu, hatimaye nimejikuta ni mtumishi wa umma mwenye kulipwa ujira duni kabisa katika mazingira mabovu ya kufanyia kazi.

Wazazi waliniaminisha nikomae na elimu na nizingatie maadili. Muda wote nimekuwa mtu wa kusifiwa tu kuwa jamaa yuko smart kichwani na mwadilifu ila kiukweli Sina Hela, full Life la kuunga- unga tu.

Cha kushangaza malofa tu na watu wakupiga madeal ndo wakatoboa, vilaza tu kidizaini na full umisheni town ndo wametusua na ndio Baba mwenye nyumba na pia wanatupa lift kwenda job asubuhi.
kimtindo huwa najiona nimefeli sana kimaisha.

Sasa umri unaenda, uchaguzi wangu naona umekua chanzo cha anguko langu. Niende mbele nirudi nyuma katika hili wazazi wangu mlichangia kuniingiza chaka kwa ushauri wenu mbovu.

#My take, usijaribu kuishi ndoto za Wazazi, make sure unaishi maisha yako.

Karibuni wadau mtoe uzoefu wenu.
 
KING 360

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
3,014

wazazi hawakukudanganya walikwambia ukweli tatizo ni lako ulisoma ili upate vyeti kutokutumia elimu uliopata sio tatozo la wazazi elimu ni ile unayobakinayo kichwani baada ya kupata makaratasi wanayoita vyeti
wenye nyumba wengi ni wastaafu
 
Elimu yangu ni msaada kwa wengi, cha ajabu haijaninufaisha Mm kwa kadiri ya matazamio yangu
 
katawa

JF-Expert Member
Jan 29, 2010
226
500
Wakuu hope mko Ok

Ngoja nijielekeze kwenye mada

Baada ya kuvumilia Kwa muda wa miaka 20 kwa kufukuzia elimu huku nikiamini siku moja elimu hii itanitoa kimaisha .

Nimetumia lasilimali nyingi sana, monetary and time kujenga future yangu, hatimaye nimejikuta ni mtumishi wa umma mwenye kulipwa ujira duni kabisa katika mazingira mabovu ya kufanyia kazi.

Wazazi waliniaminisha nikomae na elimu na nizingatie maadili. Muda wote nimekuwa mtu wa kusifiwa tu kuwa jamaa yuko smart kichwani na mwadilifu ila kiukweli Sina Hela, full Life la kuunga- unga tu.

Cha kushangaza malofa tu na watu wakupiga madeal ndo wakatoboa, vilaza tu kidizaini na full umisheni town ndo wametusua na ndio Baba mwenye nyumba na pia wanatupa lift kwenda job asubuhi.
kimtindo huwa najiona nimefeli sana kimaisha.

Sasa umri unaenda, uchaguzi wangu naona umekua chanzo cha anguko langu. Niende mbele nirudi nyuma katika hili wazazi wangu mlichangia kuniingiza chaka kwa ushauri wenu mbovu.

#My take, usijaribu kuishi ndoto za Wazazi, make sure unaishi maisha yako.

Karibuni wadau mtoe uzoefu wenu.
Nilitarajia uje na maelezo nini umefanya kurekebisha makosa ya wazazi wako.
 
Mother Confessor

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
17,301
2,000
Daah,ww msomi unasema hivyo sasa wale wajinga wa kukosa elimu nao watasemaje!??...upambanaji wa maisha hauhitaji akili ya darasani ya xy pekee tumia akili ya ziada,jiongeze....Fanya mambo kisomi,kama hizo dili zinapigwa na wasio soma na wanatusua ww unashindwaje!?piga dili kisomi tuone naww kama hutotusua,.usiwalaumu wazazi kwa hilo, wao kwa uwezo na nafasi zao wamekufikisha hapo,.kuliko baki malizia mwenyewe tia juhudi,nguvu na maarifa katika kutengeneza kesho yako nasio lawama tena unawatupia wazazi lol....maisha ya KUKARIRI yamepitwa na wakati...Zinduka.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,158
2,000
Wakuu hope mko Ok

Ngoja nijielekeze kwenye mada

Baada ya kuvumilia Kwa muda wa miaka 20 kwa kufukuzia elimu huku nikiamini siku moja elimu hii itanitoa kimaisha .

Nimetumia lasilimali nyingi sana, monetary and time kujenga future yangu, hatimaye nimejikuta ni mtumishi wa umma mwenye kulipwa ujira duni kabisa katika mazingira mabovu ya kufanyia kazi.

Wazazi waliniaminisha nikomae na elimu na nizingatie maadili. Muda wote nimekuwa mtu wa kusifiwa tu kuwa jamaa yuko smart kichwani na mwadilifu ila kiukweli Sina Hela, full Life la kuunga- unga tu.

Cha kushangaza malofa tu na watu wakupiga madeal ndo wakatoboa, vilaza tu kidizaini na full umisheni town ndo wametusua na ndio Baba mwenye nyumba na pia wanatupa lift kwenda job asubuhi.
kimtindo huwa najiona nimefeli sana kimaisha.

Sasa umri unaenda, uchaguzi wangu naona umekua chanzo cha anguko langu. Niende mbele nirudi nyuma katika hili wazazi wangu mlichangia kuniingiza chaka kwa ushauri wenu mbovu.

#My take, usijaribu kuishi ndoto za Wazazi, make sure unaishi maisha yako.

Karibuni wadau mtoe uzoefu wenu.
Ujinga wako ni pale ulipokubali kufanya kazi Tanzania .
 
likandambwasada

JF-Expert Member
May 27, 2015
5,414
2,000
WAZAZI WALISEMA USOME NA SYO KUTAFUTA VYETI, EBU JIONE ULIVYO MJINGA, UMETAFUTA VYETI BADALA YA KUSOMA, SASA KWA KUWA HUKUZNGATIA USHAURI WA WAZAZ SUBIRI MZEE WA MAGOGONI AKUTIE ADABU KWA SALARY YA LAKI 7
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom