Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna hili dawati nimekuwa nikilisikia lipo Polisi -Dawati la Jinsi na Watoto hivi hili majukumu yake ni Yapi Zaidi?? Mbona kama linafanya sawa na ambavyo Ustawi wa Jamii ni Jukumu lao... Mwenye...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
jamani hivi hii bahati nasibu ni kweli au wizi maana washaniliza pesa nyingi mabwana hawa
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Tuna utitiri wa vyombo vya habari lakini habari nyingi zinazoandikwa ni za siasa, michezo na vibweka vya mastaa. Utasikia leo huyu kahama chama, huyo kamjibu raisi vile, msanii huyu kazaa na yule...
0 Reactions
6 Replies
868 Views
Maombi ya Askofu wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya Victoria Nyanza (DVN), Boniface Kwangu, ya kutaka mahakama izuie baraza la maaskofu kumfuta kazi hiyo yametupiliwa mbali na mahakama ya hakimu...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Natabiri lile kundi lilikuwa organised na marehemu Didas Masaburi litaibuka tena siku Dr slaa akirudi Bongo kuja kula kiapo,lengo likiwa lilelile kuonyesha kwamba chadema bila slaa ni dhoofu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana jamvi, wapi naweza kupata ofisi za kampuni za kusafirisha mizigo kwenda Arusha, Kilimanjaro hapa Dar es Salaam, nina mzigo nataka niusafirishe na sijui hata kampuni moja. Msaada tafadhali!
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Ninaomba kuuliza, ninahitaji kufahamu endapo mnufaikaji wa mkopo kutoka HESLB akaamua kukimbilia nchi jirani kutafuta ajira. Je serikali itamzuia asipate vibali vya kazi/work permit ya kule au...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa kifupi tu naandika kitu, naomba utafakari kama great thinker mihemuko weka pembeni Kipindi cha Kikwete, nchi iliingia kwenye beef mbili kubwa na Malawi na Rwanda ila katika mitandao haswa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Sijawahi kuleta Uzi kwenu wadau ila nimehisi nna jambo lakuongea pengine wawili watatu wakaungana na mimi kwenye hili. Kwanza ningeanza na maana ya neno lenyewe "UZALENDO" UZALENDO ni ile hali...
0 Reactions
1 Replies
783 Views
Wadau Orodha ya ving'amuzi vinavyotumia Satellite kurusha matangazo yake ni kama ifuatavyo: 1. DSTV 2. AZAM TV 3. ZUKU Aksanteni.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana nilifanikiwa kupata aerial view ya zile hostel mpya zilizogharimu bilioni kumi, kweli nilisikitika sana kwa tule tujengo tolivyokaa kama nyumba za Tembe maarufu sana mikoa ya kanda ya kati...
12 Reactions
116 Replies
33K Views
Gwajima amesema sheria inaosema kubomolewa kwanyumba zilizo karibu na barabara ina utata mkubwa, na hata Marekani hawana hiyo Ila amesema atakusanya wahandisi wake na wataenda kupima mita 90 na...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Habari za muda huu wakuu. Kwa sasa nipo Kondoa ila mke wangu kasimamishwa na trafiki maeneo ya Mikocheni kwa Warioba aliomba vitu kadhaa ikiwemo leseni ya udereva, fire extinguisher, reflector...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Naibu Waziri wa Madini Mhe.Stanslaus Haroon Nyongo,amesema watanzania zaidi ya mia 600, wanatarajia kupata ajira katika kipindi cha mwanzo wa ujenzi wa mgodi wa kampuni ya Uranex...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna roho nyingi zinazofanya kazi. Kazi za kusonga Na kazi ya kubomoa. Kazi ya kupatanisha Na kazi ya kufarakanisha. Roho ya uharibifu ni roho yenye nguvu sana. Itaharibu ndoa yako, gari yako...
19 Reactions
79 Replies
8K Views
Madai haya yaliyotolewa na mwanachama anayeitwa ikipendaroho kuwa TBS haifanyi kazi ipasavyo kwenye uzi huu TBS wanarudisha nyuma utowaji wa mizigo bandarini.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Inaelezwa kuwa matumizi ya nishati asilia ni kichocheo kikubwa cha maambukizi ya mfumo wa upumuaji (Acute Respiratory Infection) ambayo yanaongoza kusababisha vifo vya watoto walio chini ya miaka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natoa rai kwa Wizara hii inayohusika na jinsia na watoto ambapo nadhani pia kitengo cha ustawi wa jamii ni idara iliyoko chini yake kuweka mkakati wa kuwasaidia hawa single mothers. Juzi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakurugenzi wa Kampuni ya Sixtelecom, Peter Noni na Dk.Ringo Tenga, Ofisa Mkuu wa Fedha, Noel Chacha na Mhandisi wa Kampuni hiyo, Rashid Shamte, wamefikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi kwa...
3 Reactions
241 Replies
54K Views
Kiukweli had ifike 2020 kama upinzani hawajapata namna ..ni ngumu saana,..nafahamu kuna watu hawapendi kukubaliana na uhalisia na ukweli, ila kama hukubaliani basi sawa ila kuichomoa CCM...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…