Tusiwalaumu wazazi wetu

Tusiwalaumu wazazi wetu

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
389
Reaction score
1,368
Sema ile kauli ya
"Sitaki watoto wangu waje kuishi maisha kama niliyoishi mimi"

Kwa namna moja ama nyingine huwa tunawakosea sana wazazi wetu.
Walijitahidi sana kutupa Kila kitu kwa nafasi zao na walicho jaaliwa 📌
 
Back
Top Bottom