Mwanzo 32:26
Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki.
Faida ya kuomba ya saa 9 usiku mpaka saa 11 Asubuhi.
Muda wa saa 9 usiku mpaka saa 11 asubuhi ni...
Unapokaribia mlango wa baraka kufunguliwa vikwazo utokea kwa nini
Danieli 10:13
Lakini mkuu wa ufalme wa Uajemi alinipinga siku ishirini na moja; bali, tazama, huyo Mikaeli, mmoja wa hao wakuu...
Hizi AI mbili, zimekuja na majibu yanayofanana (almost):
Gemini (Google)
ChatGPT
Ingawa ChatGPT anashawishi ongezeko dogo, ila Gemini yeye anaamini itaongezeka tsh 500 kwa kila lita.
Vigezo...
Kwa nini mambo mabaya mengi huongezeka licha ya kukemewa ?
Kuna mdau ameniuliza swali hili
Pombe ni mbaya, kila siku tunaisema ila wanywaji wanaongezeka?
Mauaji ni mabaya, kwa nini kila siku...
Naombeni tuu msije mkamnyakua maana jamaa amekataa uchawa na ameacha akili yake ifikiri kwa kina bila uoga na bila kujali mkono wa chuma.
Alichokiongea kwenye hii video kina make sense sana, na...
Juzi kati nilienda Mkoani Lindi kumtembelea ndugu yangu wakati huu wa likizo, kuna jambo nililikuta huko na kuniacha mdomo wazi.
Wenyeji wangu waliniambia kwa kuwa wao wako bize walilazimika...
Huwezi kuwa ni Shabiki wa Watu wenye Msimamo na Wanaojiamini duniani kama Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu, Rais wa Rwanda Kagame, Mahayati Mwalimu Nyerere na Magufuli na Tundu Antipas Lissu halafu...
Wakuu nipeni ratiba safari ya Mtwara mimi natokea Zanzibar nataka kwenda Mtwara naishia Mtama ninachotaka kujua bus la Mtwara napandia wapi pia nauli ya bus bei gani?
Dar es Salaam - Mei 4, 2026
Hati ya makubaliano ya mashirikiano ya kuwajengea uwezo watumishi wa umma wa Tanzania na Kenya imesainiwa kati ya Dkt. Ernest Francis Mabonesho, Mtendaji Mkuu na...
SHIRIKA la Dawa Asili na Ulinzi wa Mazingira(TRAMEPRO) limesema linatambua na kuthamini mchango wao katika kukuza na kuendeleza sekta ya tiba asilia, ambayo imeendelea kuwa tegemeo muhimu kwa...
Natumai mmekuwa na wakati mzuri sana wa mapumziko ya leo. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 ni mfanyakazi kwenye halmashauri X. Nimekuwa na changamoto zifuatazo
1. Nakosa amani watu...
Jengo lililopo eneo la Stone Town, Zanzibar limeporomoka ghafla, huku mamlaka zikianza uchunguzi wa haraka kubaini chanzo cha tukio hilo.
Chanzo: Mnana Online TV
Pia soma ~ Jengo Maarufu...
Na Mwandishi Wetu, Kibaha-Pwani.
Imeelezwa kuwa Tume ya Taifa ya Mipango imekamilisha nyenzo zote za utekelezaji wa Dira 2050 ambazo ni Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu...
Anahutubia sasa kwa Kiingereza halafu Kinafiki na kwa kutudharau anauliza ninyi mnanielewa kweli? Na Mipopoma iliyomualika inaitikia ndiyooooo.....wakati kila nikiziangalia Nyago (Sura) za 95% ya...
Wakuu salaam,
Awali ya yote nawashukuru wana Jamii forums wote kwa michango yenu na mawazo yenu yakinifu yanayo toa elimu, ushauri na msaada mkubwa sana kwa jamii.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye...
Kitu ambacho kinaweza kumfanya mtu aje ajute ni kufikiri mtu mbaya anaweza kubadilika , ukishamtambua mtu ni mbaya / adui yako take action fast otherwise u will be screwed first
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.