Wakuu nimehamishwa kikazi na kupelekwa halmashauri ya wilaya ya simanjiro iliyopo mkoani manyara lakini ni sehemu ambayo sijwahi ata kukatiza
Je sehemu hiyo ikoje kwa wanaoifahamu
Kiuchumi...
OFISA mmoja wa serikali anadaiwa kujipatia kiasi kinachokadiriwa kufikia shilingi bilioni 4, kwa njia ya rushwa. Anayepewa tuhuma hizo ni Ofisa Uvuvi Msaidizi Mkuu, anayesimamia Wilaya ya Bunda...
"Waziri amezungumza hapa sijaona amezungumza bajeti ya Arena...ndugu yangu Makonda leo, kama mama anakuombea Dua nyumbani, mshahara wako naondoka nao...Mwana FA mshahara wako naondoka nao...ndugu...
Wananchi hawa wa Mbagala Rangitatu, Dar es Salaam, wamedai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara zao na Manispaa ya Temeke wakati kesi iko mahakamani, tukio hilo limetokea Mei 2, 2026.
Wananchi...
Katika enzi ya kisasa ya kidijitali inayobadilika kwa kasi, ujumuishaji wa akili bandia (AI) katika tasnia umesababisha mabadiliko ya uandishi wa habari . Teknolojia za AI zinaunda upya jinsi...
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
SERIKALI imeanza kuvuna matokeo ya mageuzi ya kidijitali katika sekta ya habari baada ya Waandishi wa Habari 3,357 kuthibitishwa na kupatiwa ithibati ndani ya kipindi...
Waamini Mungu walianzisha madai yao ya uwepo wa Mungu, Sasa badala wayathibitishe wao wenyewe. Wanataka Sayansi iwathibitishie.
Kwani Sayansi ndio ilileta habari za huyo Mungu?
Au ni nyie...
Shikamoni wakubwa..
Vijana wenzangu mambo vipi..
Wakuu Nina miaka 22 elimu yangu niliishia form 4. Baada ya kumaliza 2022 nimekaa mtaani sana nikaona si vyema nikakaa bila fani yoyote. Mwanzoni...
Mei 3, ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Habari...
Katika ulimwengu unaozidi kujazwa na taarifa bila kikomo, ambapo mitandao ya kijamii inachochea hofu, chuki na migawanyiko kwa kasi, na akili...
Hivi Tanzania nzima mwana Chuo (Msomi) anayehitaji Msaada wa ama Serikali au Wizara ni huyu tu peke yake?
Hivi ni mara ngapi tunaona na tunajua kuwa Waandishi wa Habari wengi nchini Tanzania...
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Christian Makonda amesema Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kwa kushirikiana na Mfuko wa...
Hivi ukikaa kimya mtandaoni watu wanafikiri umefulia !? SMH , kuna rafiki zangu waliacha kunipigia simu nilivyokuwa offline nilijifunza mengi na nikatambua watu wepi ni muhimu kwenye maisha...
Ziwa lipo jirani ila Wananchi wa Nyashishi na Usagara (Mwanza) hatujawahi kuwa na maji ya bomba
Wananchi wa Nyashishi na Usagara Mwanza tangu Dunia iumbwe maeneo hayo hayajawahi kuwa na bomba la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.