Je, Platinum credit ni taasisi ya kweli?

Je, Platinum credit ni taasisi ya kweli?

Bei rahisi Electronicks

Senior Member
Joined
Nov 24, 2025
Posts
167
Reaction score
392
Nimepigiwa simu na taasisi inayojiita Platinum Credit wanatoa Mikopo

Je hiyo taasisi ni kweli wanasema Wapo Morocco, Dar es Salaam niwatumie password za ESS

Mimi ni ajira mpya
 
Nimepigiwa simu na taasisi inayojiita Platinum credit wanatoa Mikopo je iyo taasisi ni kweli wanasema Wapo Morocco, Dar es Salaam niwatumie password za Ess Mimi ni ajira mpya
Ipo kweli, wewe kama unahitaji mkopo fika ofisini kwao wapo jengo moja na hospitali ya macho ya Dr.Agarwals. Ila ogopa mikopo ya kausha damu.
 
Hali ngumu mpaka JWTZ tuendelea kuilinda katiba chakavu hima hima aaaaaa
 
Alafu wanatarifa zangu
Serikali nzima na mipango yake inaelekezwa kwa magenge ya raia feki ili kuzidi kuyafanya yawe matajiri .... taarifa zote za kiuchumi fulsa na miradi na tenda zote zinaelekezwa kwa kundi la wahindi na waarabu waislamu.....milango yote ya uchumi wa Tanzania imefungwa rasmi kwa wabantu kwa asilimia 98% hivyo wewe ulipo andikishwa tu kuwa ni mfanyakazi mpya wa serikali basi hapo hapo taarifa zako ziliunganishwa moja kwa moja na hilo GENGE LA RAIA FEKI AMBALO KIONGOZIWAO MKUU NI ROSTAM AZIZI NA KIBARAKA WAO MKUU NI KIKWETE NA MUNGU WAO NI SAMIA
 
Nimepigiwa simu na taasisi inayojiita Platinum credit wanatoa Mikopo je iyo taasisi ni kweli wanasema Wapo Morocco, Dar es Salaam niwatumie password za Ess Mimi ni ajira mpya
Hao ni wakopeshaji kama kausha damu, unapeleka gari wanakagua wanaweka king'amuzi chao wanabaki na card, utalipia mpaka ukome, wanamakato mengi sana, unaweza kuchukua 3m na utalipia Kila mwezi, ukija kumaliza mkopo utajikuta ymelupia 6m
 
Ukiona mtu anakubembeleza akusaidie/kukupa dili, jua wewe ndio dili lenyewe. Mjini hapo bwa mdogo. 😁
 
Nimepigiwa simu na taasisi inayojiita Platinum credit wanatoa Mikopo je iyo taasisi ni kweli wanasema Wapo Morocco, Dar es Salaam niwatumie password za Ess Mimi ni ajira mpya
Kwani unahitaji mkopo mkuu? Kama unahitaji mkopo inabidi kwanza ufanye uchaguzi wa taasisi unayoenda kukopa upate yenye riba nafuu.
 
Back
Top Bottom