Ulianza kumiliki simu akiwa na umri gani??

Ulianza kumiliki simu akiwa na umri gani??

Binafsi nimekuzidi maana enzi hizo nilikuwa na motorolaC118 niliipatiwa na mzee nikiwa darasa la nne.lakini baadae nikaipenda simu yake aina ya nokia1200 akaniachia...nakumbuka mambo yaliyumba kiaina flani nikabadili gear kwa kumiliki nokia110.japo sikudumu nayo sana mzee akanipatia teno nakia1208.sikumbuki mzee alikuwa ananunua simu nyingi kwa lengo gani.mwaka 2017 nikapatiwa nokia na Mr brother aina ya Nokia Asha 200,hii haikudumu.nikabadili upepo kwenye ulimwengu wa HUAWEI Y360,SAMSUNG CHAMP DUOS,Tecno Y3 ,Tecno WRX3,tecno J8,Samsung J1+ duos,samsung J7,aniway...long life to my SAMSUNG note8.

Haya vipi kuhusu ndugu yetu POLEPOLE yupo salama?
 
Mimi nilikua na miaka 13 darasa la sita ilikua nokia batan ila inaingia web
20250805_205205.jpg
 
Back
Top Bottom