Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Moja wapo wa ushahidi ni huu hapa,
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi mtumishi anapoacha kazi au kuachishwa kazi bima ya afya inakoma kutumika baada ya muda gani? Na je kama kaachishwa kazi na ktk mzingira fulani i.e rufaa akarudi kazi anaweza kuendelea na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jambo wanaforum wenzangu leo naona tupeane akili kidogo kuhusu vitu gani hupaswi kufanya ukiwa kama mwanajamii na mgeni katika hio jamiii. Naaanza kwa kusema hupasi kufanya ukaribu wa kupitiliza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo nikiwa barabarani tena barabara kuu nimeokea singida kwenda Dodoma nimepita Zebra nikiwa speed 45km/h nikajua nipo safe na ghafla askari kanipiga mkono. wameanza kufuatilia sheria ya kusimama...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana Jf, Nianze kwa kuwapongeza wachungaji, maaskofu na wengine wanojitahidi kueneza neno la Mungu. Baada ya pongezi hizi niende moja kwa moja katika mada. Ni kwa muda mrefu jamii imekuwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajanvi za mda huu? Nisiwachoshe, hivi wale watoto waliolawitiwa sasa hivi si wana umri mkubwa tu? Wana kuanzia miaka 20 na kuendelea maana kwa wale waliokuwa na miaka 6 sasa hivi watakuwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Polisi wa usalama barabarani leo walizuia mabasi yanayoenda mikoani yapatayo kumi kutokana na ubovu wa magari hayo,nawashauri wasisahau kuyapitia budget ya mbeya,upendo,nganga maan a bila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
JESHI la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, linamshikilia kijana wa miaka 30 kwa tuhuma za kuwabaka watoto wanne, wawili wa familia moja. Tukio hilo limeripotiwa Desemba 8, mwaka huu, huko Muyuni A...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana jamvi Hili nimeliona sana, ma Rais wa bara la Afrika wanapoingia makanisani au msikitini huwa wanaombewa maombi ya Baraka ya kuiongoza nchi na sio maombi ya kukemea shetani na mapepo...
1 Reactions
4 Replies
925 Views
Inaelezwa kuwa vikosi vya jeshi la Tanzania kuendelea kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (Congo DRC) licha ya kupoteza wanajeshi wake 14 katika shambulio dhidi ya waasi...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Heshima kwenu wakuu,namtafuta huyo hapo juu kokote ulipo ludi jf nakusubiri my dada Hilo tu Usiku Mwema
0 Reactions
4 Replies
2K Views
"Kama hakuna mikutano ya hadhara, RUZUKU kwa vyama vya siasa inaliwa bure".. Habari hii imeindikwa na gazeti la Tanzania Mpya, kurasa ya 10. Je ni kweli au wazo hili linataka kuwapa changamoto...
0 Reactions
2 Replies
806 Views
Wadau kama kichwa kinavyosema hapo juu na naimani nitapata ideas nyingi humu kwa wadau. Nimeajiriwa yapita mwaka sasa baada ya kupita sana JF nikafunguka kuona kwamba ajira ni utumwa hasa ikiwa...
4 Reactions
85 Replies
8K Views
Johnny Was" (Wo-o-o-o! Wo-o-o-o! Wooo!) Woman hold her head and cry, 'Cause her son had been shot down in the street and died From a stray bullet. Woman hold her head and cry; Explaining to her...
0 Reactions
1 Replies
699 Views
Ndugu zangu Watanzania Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini, TMA imetaarifu kuwa usiku wa kuamkia kesho kutakuwa na mvua kubwa zinazozidi Milimita 50 ndani ya masaa 24. Kiwango cha Uhakika ni Juu ya...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Katika jambo ambalo limenishangaza ni hili la Watanzania kushangilia kuachiwa huru kwa wabakaji na walawiti, tena watu ambao walikuwa wanabaka na kulawiti vitoto vidogo, leo hii watu...
27 Reactions
193 Replies
16K Views
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameomba maombi maarufu ya Kikristo ya Baba Yetu yafanyiwe marekebisho. Anataka sehemu ambayo huzungumzia vishawishi ilitafsiriwa vibaya. Asema...
6 Reactions
270 Replies
39K Views
Elisha Gray alikuwa mtu wa kwanza kupata wazo la kusafirisha sauti kwenye waya (teknolojia ya simu) hata hivyo alizembea kuchukua hatua kwenda kusajili,kila siku alikuwa anaghairisha.Baada ya Muda...
2 Reactions
0 Replies
473 Views
Simulizi Hii imesimuliwa Na January Makamba kwenye ukuta wake wa Facebook. Kule kwenye kilele cha mlima ndio kijijini kwetu, panaitwa Mahezangulu, Bumbuli. Kabla ya kuanza safari ya kupanda...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kaimu Mkurugenzi masuala ya wateja wa Mamlaka ya udhibitiwa huduma wa nishati na maji(ZURA) Mussa Ramadhani Haji akizungumza na waandishi wa habari huko ofisini Maisara Zanzibar.(Picha na Kijakazi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…