Kama hakuna mikutano ya hadhara, RUZUKU kwa vyama vya siasa inaliwa bure

majebsmafuru

JF-Expert Member
May 1, 2017
452
624
"Kama hakuna mikutano ya hadhara, RUZUKU kwa vyama vya siasa inaliwa bure"..
Habari hii imeindikwa na gazeti la Tanzania Mpya, kurasa ya 10.
Je ni kweli au wazo hili linataka kuwapa changamoto vyama vyetu vya siasa?!
 
Tunatunza pesa kwa ajiri ya 2020 kumtoa nyoka pangoni huku ccm zao wakinunua madiwani


Swissme
 
Back
Top Bottom