KIDUDU
JF-Expert Member
- Sep 17, 2012
- 2,558
- 1,928
Leo nikiwa barabarani tena barabara kuu nimeokea singida kwenda Dodoma nimepita Zebra nikiwa speed 45km/h nikajua nipo safe na ghafla askari kanipiga mkono. wameanza kufuatilia sheria ya kusimama kwenye zebra, my friend kuweni makini, 30 itahusu mtu.