Bima ya NHIF inaisha muda wa ukomo wa matumizi lini?

nyundo2017

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,074
2,000
Hivi mtumishi anapoacha kazi au kuachishwa kazi bima ya afya inakoma kutumika baada ya muda gani?

Na je kama kaachishwa kazi na ktk mzingira fulani i.e rufaa akarudi kazi anaweza kuendelea na hiyo kadi?

Je,akiachishwa au kuachakazi anaweza kuendelea kuchangia kila mwezi kutoka mfukoni mwake ili aendelee kumiliki kadi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom