lelulelu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 446
- 412
Wadau kama kichwa kinavyosema hapo juu na naimani nitapata ideas nyingi humu kwa wadau.
Nimeajiriwa yapita mwaka sasa baada ya kupita sana JF nikafunguka kuona kwamba ajira ni utumwa hasa ikiwa hufanyi kwa kuipenda namanisha kuna watu wanazifurahia ajira zao na wengine hawazifurahii ajira zao..mimi ni katika hao kundi la pili wasiofurahia..ila nimeweka mkakati hapa mwakani naowa na huku najiweka kama miaka sita hivi wakati huo huo kila mwezi uwezo wa kusave 150000 kwenye akaunti ninao
Kwa maana ndani ya miaka sita nitakuwa na kiasi kisichopungua 10m na hapo sasa itanitosha kwa kuendeleza biasharakwa maisha ambayo nineyaplan..
Huku naisubiria miaka sita kufika wakati huo najikita zaidi kwenye biashara(sio kuongeza elimu ili nilipwe zaidi hapana huu kwangu ni uzuzu)
NIMEONA KWA AJIRA AMBAYO SIIFURAHII KWANGU NI SEHEMU YA KUTAFUTA MTAJI TU ...
NAKARIBISHA MAONI NA MAWAZO WADAU KWANI MIE BADONI MCHANGA KATIKA MAISHA HAYA....