Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Wana jamvi
Hili nimeliona sana, ma Rais wa bara la Afrika wanapoingia makanisani au msikitini huwa wanaombewa maombi ya Baraka ya kuiongoza nchi na sio maombi ya kukemea shetani na mapepo yaliyomo ndani mwao ya ukiukwaji wa katiba na haki za binadamu anapo bainika kufanya hivyo, huwa ni kwanini. Walio fariki wanasemwa kwa mazuri tu sio mabaya haya tuje kwa walio hai kwanini, je ni uoga wa wachungaji/ mashekhe au tatizo ni nini.