Hospitali ya Manispaa Mpanda ina matatizo gani ya network!

Hospitali ya Manispaa Mpanda ina matatizo gani ya network!

Brice85

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
880
Reaction score
1,775
Leo tarehe 22/1/2018 nilifika hospitali ya manispaa ya Mpanda wao wakiita hospital ya wilaya Mpanda.

Nimefika saa 1 asubuhi lakini pale mapokezi kulikuwa hakuna huduma inayoendelea tokea hasubui kwakuwa hakuna network. Tulijazana wagonjwa hapo mpaka tulipomfuata katibu wa hospitali mnamo saa nne asubuhi ndipo walipoanza kutoa huduma manual.

Ombi langu kama hii mifumo ya kompyuta inausumbufu hivi basi ni bora turudi kulekule tulipotoka kwa network leo imetesa watu mpaka muda huu hakuna network but huduma inaendelea japi imeanza kwa kuchelewa sana.
 
Back
Top Bottom