Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,063
Wakuu hivi imani zote hizi, ukienda Asia watu bilions na wamestawi sana maisha bora.
Ukienda huko Mashariki ya mbali pia same thing. Ukienda kwa Wahindi huko na imani zao, unakuta watu wanaishi maisha mazuri na dini zao.
Na wana miujiza yao inawatokea. Ukienda Ulaya, America, Africa pia.. So, hii miujiza kumbe ni kwa wote? Maana yake kumbe Mungu anasikiliza wote..
Sasa hivi vitabu vya maandiko vya dini/imani na stori zake zote vimeandikwa na nani maana kila moja kinavuta upande wake! Sio binadamu kweli jamani ndio kaandika?
Mimi nahisi binadamu katika kumtafsiri Mungu akaandika haya.