Hemed Kivuyo: Acha kudownload picha google

Hemed Kivuyo: Acha kudownload picha google

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,378
Nashangaa kituo kikubwa kama ITV wanadownload picha google na kuziweka kwenye taarifa ya habari. Hamuoni kama resolution ya picha inakua distorted na hvyo kutokuonekana vizuri au kutokuonekana kabisa!! Ina maana hapo ITV hakuna wataalamu wa IT ambao wanaweza kuwashauri njia nzuri ya kuchukua hzo picha. Mnanishangaza kweli.
 
upeo wa kufikiri ndio umefika ukingoni! Haina haja ya kuwastua waache walale....anaelala haamshwi maana ukimuamsha utalala wewe
 
Kwamba ,uzi bila picha unakua hauna maana/mantiki...[emoji23][emoji23]
 
Hebu washauri wafanye nini kupata picha bora zaidi?

Hapo utakuwa umewasaidia kuliko kumponda tu kivuyo.
 
Hebu washauri wafanye nini kupata picha bora zaidi?

Hapo utakuwa umewasaidia kuliko kumponda tu kivuyo.
Chombo cha habari kikubwa kama hicho..wanaweza wakafanya mawasiliano na wahusika wakapata authentic picha na zenye ubora kutoka kwao directly kuliko hii ya kugoogle search na kudownload..kuna siku walidownload picha hadi ya raisi Magufuli..nikashangaa vp wanashindwa kuwasiliana ata na kitengo cha habari cha ikulu wakapewa picha zenye ubora ...wanatia kichefuchefu
 
Nashangaa kituo kikubwa kama ITV wanadownload picha google na kuziweka kwenye taarifa ya habari. Hamuoni kama resolution ya picha inakua distorted na hvyo kutokuonekana vizuri au kutokuonekana kabisa!! Ina maana hapo ITV hakuna wataalamu wa IT ambao wanaweza kuwashauri njia nzuri ya kuchukua hzo picha. Mnanishangaza kweli.
weka CV ya Kivuyo, hao ni form 4 failures!
 
hii TV imeanza kujipotezea heshima iliyokua imejijengea hapa tz baada tu ya kuanza upuuuzi wa kuwakumbatia maccm
 
Back
Top Bottom