chankele kigoma
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 199
- 121
Habari zenu bandugu, Hivi kwanini sisi watu wa kigoma tuna nyanyapaliwa sana na maafsa uhamiaji pale tunapo kwenda katika office zao ?
Ukienda kuomba hati ya kusafiri (passport) ukataja wewe ni from kigoma mara utasikia mkimbizi wewe, ukiwa na passport ukiwa unatoka nje ya mpaka ukitoa tu hati hiyo ukaonekana from KIGOMA utaulizwa mwaswali mengi ikiwemo mpaka ulivo ipata hati hiyo
Sasa najiuliza kwa nini iwe kwa wazawa wa kigoma? Tanzani inamikoa mingi iliyo mipakani lakin watu wake unyanyapaaji huo hauwahusu hata ukiwa naye utasumbuliwa wewe yeye aka.
Sasa naomba kuelezwa nikwanini hii hali au kuna siri gani imejificha katika mkoa wa kigoma mpaka sisi tunaozaliwa huko tunajikuta tuananyanyasika kisa tumezaliwa KIGOMA inawezekana kuna historia siijui hivo naomba kwa mwenyekulijuwa hili anijuze ili kama kigoma haiko Tanzania basi nijuzwe mimi ni raia wa nchi gani
Tena napenda kama wahusika wapo mnipe ufafanuzi kwa hilo
Karibuni sana