Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar

ulaya12

JF-Expert Member
Nov 16, 2017
834
898
Huwa nasikiaga kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar lakini sijawahi kusikia makamu wa kwanza tokea alipokuwa Maarim Seif Sharrif Hammad, kipindi kile cha serikali ya umoja wa kitaifa. naomba anayefahamu hili jambo anifahamishe
 
Makamu wa kwanza anatokana kwa kushiriki uchaguzi kuna % flani akizitimiza ndio anakuwa makamu wa kwanza wa rais baada ya kushindwa na mgombea wa chama tawala
 
Kama ni hivyo sawa kwamba makamu wa kwanza anapatikana kwa asilimia za kura alizopata kwenye uchaguzi lakini swali linabakia palepale hizo asilimia zingepatikanaje wakati uchaguzi ulikuwa wa upande mmoja
 
Jibu ni dogo na simple tu uchaguzi haukuwa wa upande mmoja isipokuwa chama kikuu cha upinzani ndio hakijashiriki uchaguzi wa marudio na ndio maana saiv znz hakuna makamu wa kwanza wa rais coz ivyo vyama vyot vya upinzani vilivyoshiriki havikutimiza izo % flani zinazowawezesha kuwa makamu wa 1 wa rais
 
Back
Top Bottom