wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,931
- 4,550
Ukiwa na smart halafu ukakosa pesa ujue wewe ni hamnazo, msiniulize ni kivipi kuwa na smart phone ni ajira tosha?
Wengi wananunua smart phone ili kushinda FB na kusaka wanaume au wanawake, na kupekua picha za ngono basi.
Hawajui kuwa smart phone inaweza kukuingizia sh 600,000 kila mwezi, aisee Nakupenda Sana smart phone, "Shikamoo ".