Kiwanda cha Sunflag chatozwa faini ya Shilingi milioni 100 kwa kuzalisha nyavu za uvuvi haramu

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Kiwanda cha kutengeneza nguo cha Sunflug kilichoko mkoani Arusha kimetozwa faini ya Shilingi Milioni mia moja baada ya kubainika kuzalisha, kusambaza na kuuza nyavu zisizokubalika kisheria na zinazotumika kuendesha uvuvi haramu katika maeneo mbalimbali nchini.

Shehena za vifaa vya uvuvi haramu tani zaidi ya 50 zakamatwa katika kiwanda cha kutengenezea nguo cha Sunflag jijini Arusha.

00340215 f063de0c16b55757557700a8245043f1 arc614x376 w1200.png
 
Safi sana huwa wanavielehele sana vya kutoa wafanyakazi kwenda kwenye mikutano ya ccm,

Ccm hawana rafiki.



Swissme
 
Wakianza kufanya hivi uvuvi haramu utaisha. Na waende mbali zaidi wanaokamatwa wagongwe 'kastresheni'
 
Back
Top Bottom